Uchaguzi 2020 SAU yaja na sera za kumuwezesha Mtanzania kula kuku mzima

Huyu mgombea wa chama cha sauti ya umma SAU ukitafakari kwa undani Sera yake ni muhimu sana coz lishe ndio iliyotusaidia kwy janga la corona

Ila ukiangalia kwa kufikiria kuku tu utakuwa bado huja muelewa

Hongera kwake
 
Hahahaha hivi hivi vyama vya siasa vingine huwa wanawazaga nn kutoa sela kama hizi ambazo haziwezekani na kutaka kudanganya Watanzania tuuu maana wafate vyama vingine mfano wa sela zao #Hapa kazi tu
 
Kila mwaka wa chaguzi huwa wanarudia haya haya. Hakuna jipya.

Ila naona kama haya ni matumizi mabaya ya demokrasia na kinachoendelea ni kejeli kwa watanzania, msajili aangalie namna ya kupunguza vyama vinavyokosa umakini na kuendekeza mizaha kwenye mambo ya msingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…