Saud Arabia imejipanga kuingiza kombe la dunia 2030

Saud Arabia imejipanga kuingiza kombe la dunia 2030

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Habari zilizopo chini chini kuna mkono unaotembezwa FIFA mapema ili kombe la dunia kupelekwa Saudia na kwa dau nono kabisa.

Ukisikia mpira pesa ndio huu sasa
 
KWA YALIYOTOKEA KATARI NCHI ZA KIARABU ZISAHAU KUHUSU KUWA MWENYEJI WA KOMBE LA DUNIA
 
Sawa ila wajitahidi kupunguza sheria kali
 
habari zilizopo chini chini kuna mkono unaotembezwa FIFA mapema ili kombe la dunia kupelekwa saudia na kwa dau nono kabisa.

ukisikia mpira pesa ndio huu sasa
Mashoga hawawezi kukubali, alichowafanya Qatar hawana hamu nacho tena
 
Mimi ninachofahamu miaka ijayo, nchi za Ulaya na Marekani hawatakuja kuwa mabingwa tena wa hili kombe, iwapo tu wataendelea kuukumbatia ushoga.

Maana itafikia wakati wachezaji wao wote watakuwa ni mashoga, na hivyo watakuwa wanalegea na kuanguka anguka tu uwanjani! Na hivyo kutoa nafasi kwa nchi za Kiafrika na Kiarabu, ambako ushoga unapigwa vita; kung'ara katika hayo mashindano.
 
Sidhani kama mashoga mtaruhusiwa kule, nyie komaeni fainali zisiende kule
Kuna vichekesho vingi sana
20221122_211605.jpg
20220825_063331.jpg
 
Back
Top Bottom