TIQO
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 13,786
- 2,095
Source: Global Publishers
Hivi huu weupe ni wake au anajikoboa?
Watu wanapenda presha za maisha kila la heri aliyemuoa
Maimatha wa jesse @ work,mama yake mweusi tiiiii.
Maimatha wa jesse @ work,mama yake mweusi tiiiii.
Uwiiii...hata huyu kaolewa!
Uwiiii...hata huyu kaolewa!
kwani ana nin hadi asiolewe?
Umebakia wewe tu; na wewe jichubue!!!
kwani ana nin hadi asiolewe?
Na wale wanaokandia wanaojichubua ni wakina nani, ama kweli kila bidhaa lina soko lake
Kwa sisi tunaofuatilia magazeti ya udaku huyu dada zaidi ya kasoro ya kujikoboa ni wife material. Hanaga makashfa ya ukicheche.
nashangaa watu wanavyoshangaa sauda kuolewa. aendelee na utulivu wake huo huo ndoa idumu...
Ni wife material kwakweli,
Kosa moja tu kujikoboa huyu hazai kwa operesheni ngozi isha haribiwa na mchina