Sauda Mwilima kimeeleweka

Sauda Mwilima kimeeleweka

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini. ...Akitoa ‘tabasamu la mwaka’. ...Akielekea ukumbini. Bwana harusi (katikati koti jeusi)…
http://www.globalpublishers.info/profiles/blogs/sauda-mwilima-afunga-ndoa-na-kauli-juma
Sauda Mwilima akishuka kwenye gari kuelekea ukumbini....Akitoa ‘tabasamu la mwaka’....Akielekea ukumbini. Bwana harusi (katikati koti jeusi) akimsikiliza sheikh...Akiulizwa kama yuko tayari kumpokea Sauda. Sauda katika pozi....Akipokea shairi kutoka kwa Maua Faki aliyelisoma katika hafla hiyo....Akiwa na mama yake mzazi....Akiwa na mpambe wake, Hadija Shaibu (Dida)....Akiwa na mumewe baada ya ndoa.Wakitabasamu kwa pamoja.Hapa akisoma msaafu.

Source:
Global Publishers
 
Hivi anasoma msahafu au KITABU CHA MAULID ndugu mleta mada? Msahafu hauchezewi namna hiyo !
 
Maimatha wa jesse @ work,mama yake mweusi tiiiii.

Mwenyewe nimeshangaa maza black tii au dingi ni msauzi? alafu mtoto mweupe chotara si chotara, mburushi si mburushi kumbe mchina anafanya kazi sasa ikitokea anazaa kwa operesheni inakuwaje hapo wakuu anashoneka huyu?
 
nashangaa watu wanavyoshangaa sauda kuolewa. aendelee na utulivu wake huo huo ndoa idumu...

Ni wife material kwakweli,
Kosa moja tu kujikoboa huyu hazai kwa operesheni ngozi isha haribiwa na mchina
 
Back
Top Bottom