The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
TB wasanii wetu unafikiri huwa wanajali basi wakilipwa laki mbili wao poa tu ndio maana mapromota wameishazoea shoo za laki tano hadi milioniHili ni fundisho kubwa kwa wasanii wetu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TB wasanii wetu unafikiri huwa wanajali basi wakilipwa laki mbili wao poa tu ndio maana mapromota wameishazoea shoo za laki tano hadi milioniHili ni fundisho kubwa kwa wasanii wetu...
Hizi ndizo walizozoea na shoo za wasanii wa Bongo Flava kuwalipa laki mbili
Huwa nasikia ndio zake tokea yuko Stan Chat Bank baadae akaja akahamia KCB (Kenya Commercial Bank)yaani hiyo aibu sijui ataifanyaje
maana jamaa ana ujiko mjini lol
Huwa nasikia ndio zake tokea yuko Stan Chat Bank baadae akaja akahamia KCB (Kenya Commercial Bank)
Hahaha!!! Mchezo huo mbona upo kama vile channel 5 walivyowaleta P Square na wao wakaja wakawaleta tena, ila mimi naona huu ni utapeli nje nje kabisa inaonekana waliona wameishavuta mkwanja wa maana sijui watawaambia nini watu naona na Sauda Simba naye image yake inaanza kuonekana mbaya upande wa entertainmentha ha haa
mkuu hii aibu itamshusha mno
wenzie akina kelvin twissa wamemleta 50 cent na amelipwa
yeye hata masekela anashindwa??????
na utaona clouds watakavyofanya,watamleta wao huyo masekela
trust me