Sauda Simba na Trinity Promotions walivyomtapeli Hugh Masekela jana

Huwa nasikia ndio zake tokea yuko Stan Chat Bank baadae akaja akahamia KCB (Kenya Commercial Bank)

ha ha haa
mkuu hii aibu itamshusha mno
wenzie akina kelvin twissa wamemleta 50 cent na amelipwa
yeye hata masekela anashindwa??????
na utaona clouds watakavyofanya,watamleta wao huyo masekela
trust me
 
ha ha haa
mkuu hii aibu itamshusha mno
wenzie akina kelvin twissa wamemleta 50 cent na amelipwa
yeye hata masekela anashindwa??????
na utaona clouds watakavyofanya,watamleta wao huyo masekela

trust me
Hahaha!!! Mchezo huo mbona upo kama vile channel 5 walivyowaleta P Square na wao wakaja wakawaleta tena, ila mimi naona huu ni utapeli nje nje kabisa inaonekana waliona wameishavuta mkwanja wa maana sijui watawaambia nini watu naona na Sauda Simba naye image yake inaanza kuonekana mbaya upande wa entertainment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…