Hakuna mkataba wa petrodollar, ilikuwa ni gentleman agreement tu.kuna haja ya watu kufahamu zaidi mkataba wa Petrodollar upoje ili kuondoa mkanganyiko uliopo.
Ni jambo jema sanaSaudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake.
Saudi Arabia bado haijathibitisha ikiwa inataka kujiunga na muungano wa BRICS na imesimamisha uamuzi huo kwa zaidi ya mwaka mmoja.
BRICS iliialika Saudi Arabia kujiunga na umoja huo wakati wa mkutano wa kilele wa 2023 na Ufalme huo bado haujakubali mwaliko huo na kutoa jibu. Baada ya kuamua kuhusu BRICS, kampuni kubwa ya mafuta ya Saudi Arabia Aramco imeanza kutoa bondi za dola za Marekani.
After Pausing BRICS, Saudi Arabia Starts Issuing US Dollar Bonds
Yes ni sahihiSuala ni kwamba atauza mafuta yake kwa dollar pekee au atapokea pesa zingine kama Euro, Sterling, Renminbi nk nk.
Viewpoint from the Graduate of the moslem islamic school commonly known as the Madrassat.Machawa wa marekani mnatuletea ushuzi mwingi sana humu jamvini. Hiyo dollar yenyewe imeshasusiwa na mataifa kibao tena yenye uchumi mkubwa tu.
Kwahiyo na hako kakingereza kako uchwara unajiona mwenyewe umesoma kweli 🤣. IdiotViewpoint from the Graduate of the moslem islamic school commonly known as the Madrassat.
Zitaje hizo nchi ambazo hazipokei pesa ya marekani? Achana na mrusi ambaye haruhusiwi kupokea Wala kutuma pesa kwa mfumo wa Money Swift.Machawa wa marekani mnatuletea ushuzi mwingi sana humu jamvini. Hiyo dollar yenyewe imeshasusiwa na mataifa kibao tena yenye uchumi mkubwa tu.
Sasa niachane na urusi kwani urusi siyo nchi? Nyie machawa wa US vipiiZitaje hizo nchi ambazo hazipokei pesa ya marekani? Achana na mrusi ambaye haruhusiwi kupokea Wala kutuma pesa kwa mfumo wa Money Swift.
Umesema mataifa kibao yataje.Sasa niachane na urusi kwani urusi siyo nchi? Nyie machawa wa US vipii
China ana transaction na Iran na urusi kwa local currencyUmesema mataifa kibao yataje.
Sasa mchina kutransact na mataifa hayo haimanishi hapokei dollar wakileta uwe unaelewa. Tanzania tunafanya biashara na Kenya na tunapokea Ksh je dollar haturuhusu kupokea ukiwa wafanya biashara wa Kenya watakuja na USD?China ana transaction na Iran na urusi kwa local currency
Wewe ndio huelewi ile transaction flow inapungua kwahiyo lazima iwe na athari kwa dolaSasa mchina kutransact na mataifa hayo haimanishi hapokei dollar wakileta uwe unaelewa. Tanzania tunafanya biashara na Kenya na tunapokea Ksh je dollar haturuhusu kupokea ukiwa wafanya biashara wa Kenya watakuja na USD?