Saudi Arabia kuendelea kutumia dola katika biashara ya mafuta

Saudi Arabia kuendelea kutumia dola katika biashara ya mafuta

Saudi ni mteja mzuri sana wa nyenzo za kivita US, na ili kuvipata lazima awe na dola.
 
Saudi ni mteja mzuri sana wa nyenzo za kivita US, na ili kuvipata lazima awe na dola.
Siyo tu nyenzo Saudi Arabia anamtegemea Marekani kwa usalama wake. Kuna Iran na Houthi wanatamani wamle nyama kizingiti Marekani. So Saudi Arabia bila kufanya deal na Marekani atakuwa anahatarisha usalama na uchumi wake.
 
Back
Top Bottom