Saudi Arabia: Mahujaji zaidi ya 500 wafariki wakati wa Hija huko Makka

Kafara?
 
Kifo hija hakiepukiki kwa kua waislam wengi pia humuomba Mungu kifo kumkuta huko hija hivyo hio sio kazi ya saudia kupunguza vifo hawezi kamwe kwakua wenyewe kumuomba Mungu amchukue na maombi hujibiwa pia
 
Kuna haja gani ya kwenda ktk kipindi hiki Cha joto Kali. Mbona kipindi Cha korona kulikuwa na restrictions. Mwisho mtupe tabu za michango ya kurudisha miili.
Have you ever heard mchango wa kurudisha mwili?
 
Kukejeli dini za wengine ni kukosa ustaarabu! Kama unaamini dini yako ni bora kuliko yao, wavute kwenye hiyo yako kwa upendo bila kejeli.
 
Hicho ni kifo ambacho waumini watakipenda sana.

Ikiwa ni lazima ufe, na unaweza kufa popote, kwa muumini kufa wakati wa hajj ni kifo kizuri sana.

Yani katika historia yako unaonekana umefia katika Hajj Mecca huko.
we hupendi mkuu..?😂
 
Hivi kwa nini wasingetafuta utaratibu wa kuingia wachache. Coz wakiingia wengi lazima wakanyagane hiyo ni lazima why wanalundikana hivyo.
Kipimo cha utakatifu,ukiendakuhiji bila kuomba toba hurudi
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa🤔
 
Kila nafsi itaonja mauti. Nafsi hizi zimekutana na umauti Ibadani, Je Yako itakutana na umauti mahala gani?!
Kifo ni kifo tu,kuna watu wanakufa wakiwatafutia riziki watoto wao,ije kuwa hao walioenda kuabudu jiwe jeusi!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…