TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kufuatia kadhia mbalimbali zinazoendelea kwa wakazi wa ukanda wa Afrika mashariki kutoka nchi za kiarabu.
Bunge la kenya linategenea kupitisha azimia ka kupiga marufuku raia wao kwenda nchi za kiarabu kufanya kazi za ndani.
Majuzi hapo kuna video ilitapakaa kwenye mitandao ya kijamii ikionyesha binti anayelazimishwa kuwaonyesha watoto wa mnyama 'mbwa' puppies huko Saudi Arabia.
Hapa chini kwenye sinema hii ni familia yake ikijaribu kueleza kile walichojua kutoka huko alipokuwa mwana wao.
NOTE: Kuna mambo ya kujifunza hapa, usichukulie sawa sawa.
Moderator usiondoe huu huzi wala kuuamisha hapa ili wabongo wanaotaka kwenda huko wapate somo.