Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

Saudi Arabia na EPL ugomvi zito

Tangu ufunguzi wa usajili katika ligi mbalimbali duniani SAUDI ARABIA imeonekana ndio kinara katika kunyakua saini za wachezaji wakubwa ambao waLItegemewa na kuwa kivutio kikubwa kwenye EPL, miongoni wa wachezaji hao ni

Christiano Ronaldo (Manchester United), Karim Benzema (Real Madrid), Ruben Neves (Wolves), Hakim Ziyech (Chelsea), Kalidou Koulibaly (Chelsea) na Ngólo Kante (Chelsea), mbali na hapo hivi karibuni wako mbioni kuina saini ya mwamba wa africa, Saido Mane kutoka Liverpool

Swali ni kwamba ni nini hasa dhima ya Saudi Arabia na EPL?
Kwani EPL walikatazwa kuwanunuwa?
 
Ligi za Ulaya nazo zilifanya hivyo hivyo kwa ligi za Afrika, South America na hata ligi nyingine za Ulaya.

Kwa nini mnawasema Waarabu kwa kufanya kitu kilekile walichofanya Ulaya?
Nahisi Kuna udini hapa
 
Back
Top Bottom