Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Ni kweli makampuni makubwa ya mafuta yamepata faida za kihistoria na wanataka zaidi na zaidi. Kwenye soko huria hakuna 'mjomba' wa kulinda maslahi yetu, kila mtu anavutia upande wake. Hatuna budi kuwa na mipango madhubuti.Dunia ya leo wanacheza na vichwa vya watu.
Bei itapanda kwa lazima na hilo ndio wanalolitaka.
Kuna makampuni mengi sana yamepiga hela za faida mara 10 ya faida walizokuwa wanapata
Yaani tangu Covid mpaka Ukraine hali ni mbaya kwa wengine na ni nzuri kwa makampuni makubwa kama ya Gas na Mafuta
Sisi waafrika nao tunaburuzwa tu
Nchi zetu hazina umoja kabisa kwa chochote