Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Saudi Arabia imekuwa na sheria kali kuhusu pombe na bidhaa za pombe, ambapo zinakatazwa kabisa katika nchi hiyo, ingawa pombe zimekuwa zikitumika kwa siri kwa baadhi ya wageni.
Hatua hii ni sehemu ya mabadiliko ya kijamii na kiuchumi yanayoendelea katika Saudi Arabia, ambapo serikali inajaribu kubadilisha sura ya uchumi wake kupitia mpango wa "Vision 2030," ambayo ni mpango wa kuifanya nchi hiyo kuwa na uchumi tofauti na utegemezi wa mafuta.
Naomba wasisahau na kitimoto 😃