Saudia haitaki Wasichana wa kazi toka Kenya

Saudia haitaki Wasichana wa kazi toka Kenya

au wakenya walienda na mfupa wa kitimoyo? watanzania tujifunze wenzetu wamefanyaje hadi wakapata mafanikio makubwa kiasi cha kupigwa ban na waarabu? waarabu wanabaka ndugu zetu, wanawatesa na kuwafanya watumwa. ukiona umezuiwa na watu kama hao, jua wewe unacho cha ziada.
Mkuu jaribu kuwa makini wakati wa kutoa maoni, Sikiliza vizuri hizo video kuhusu wakenya mambo wanavyofanya huko Saudiahttps://youtu.be/6lwQCb1nrFM

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
au wakenya walienda na mfupa wa kitimoyo? watanzania tujifunze wenzetu wamefanyaje hadi wakapata mafanikio makubwa kiasi cha kupigwa ban na waarabu? waarabu wanabaka ndugu zetu, wanawatesa na kuwafanya watumwa. ukiona umezuiwa na watu kama hao, jua wewe unacho cha ziada.
Kuuza papa ndio mafanikio kwako,wengi wao wanafanya biasha ya umalaya hiko middle east
 
Waafrika Ngozi nyeusi wengi bado wanaugua Epidomia
Yaani Unyani.

Unaiacha nchi ina raslimali kibao unaenda kutumikishwa Uarabuni.
 
Back
Top Bottom