Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Peleka dada zako wakabakww huko basi?
Tabia za kubaka ni za huku huku kwetu na kwa ndugu zako hukoo uzunguni japo sio wote wenye ushenzi huo, wengine wastaarabu.
Hapo cha kufanya, serikali ya Saudia nchi ambayo amezaliwa Mtume wetu Muhammad (S.A.W) kwenye ardhi tukufu kama ile halafu anaenda mtu from nowhere kufanya ushenzi wake katika ardhi hiyo tukufu, kama tuonavyo katika video hiyo, aise watimuliwe wote hao na wapigwe marufuku kukanyaga huko
Vile vile nishauri nchi zote za kiarabu wapige marufuku watu wa aina hiyo kuingia katika nchi zao