joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Huoni wakijibu lolote, wanekaa kimya, sio kwamba hawaoni.Kumbe hawa wakundustan huwa wanajimwambafai na remittances za dada zao kuuza nyapu uarabuni?
If you live abroad stay away with Kenyan and Nigerian women
Kenyans and Nigerians in general, hawa hawana ubinadamu kabisa, wakati wowote wanaweza kukutoa uhai.If you live abroad stay away with Kenyan and Nigerian women
Kuishi abroad kwa hao majirani ni sawa na kufika mbinguni wanatamani hata wabadilishe rangi zao zifanane na wazungu au waarabuWaafrika Ngozi nyeusi wengi bado wanaugua Epidomia
Yaani Unyani.
Unaiacha nchi ina raslimali kibao unaenda kutumikishwa Uarabuni.
Hii ni sifa nzuri, Waarabu hawawezi kuwaweka kwenya cage kama hao raia wa nchi nyingine.Wakenya wamekuwa na sifa mbaya sana abroad
Mngekuwa mnapendana msingekuwa mnatuhumiana kuibiana uchaguzi.Wakenya wenyewe hawapendani , eti wanataka nchi zingine wawapende
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa Kama wasaudia ni waajabu, kwanini wakenya wanalazimisha kwenda Saudia ambako hawatakiwi, kwanini wasibaki Kenya wafe kwa njaa?
Wacha kukimbia ukweli, wachaneni na upumbavu wa ukabilaMngekuwa mnapendana msingekuwa mnatuhumiana kuibiana uchaguzi.
Ni wakenya wangapi wamekufa kwa njaa kwa kutokwenda saudiaSasa Kama wasaudia ni waajabu, kwanini wakenya wanalazimisha kwenda Saudia ambako hawatakiwi, kwanini wasibaki Kenya wafe kwa njaa?
Hamna huruma wasichana wanateswa kama wanyama bado mnahamasisha huu utumwa!!?
Peleka dada zako wakabakww huko basi?
Mleta uzi apeleke dada zake tuSababu wanajielewa.
Waafrika Ngozi nyeusi wengi bado wanaugua Epidomia
Yaani Unyani.
Unaiacha nchi ina raslimali kibao unaenda kutumikishwa Uarabuni.