Saudia: Wanaufalme wagombea madaraka, zaidi ya wanafamilia 20 wakamatwa kwa tuhuma za kutaka kumpindua mrithi wa ufalme

Kwanini unasema sio original wakati huyu Salman ni mmoja wa wale watoto Saba wa Ibn Saud.

Labda mfalme aliyepita (Marehemu Mfalme Abdullaah) ndio hakuwa original ila mtangulizi wake ambaye aliitwa Mfalme Fahd alikuwa original.
Mkuu asante kwa kunikosoa. Kwanza Kuwait inaongozwa na emirs ambao ukoo wao hauna uhusiano wowote na Al Saud.
Hata sijui hizi data nilizotoa pale nilizikurupua wapi. Nilichanganya sana mambo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu asante kwa kunikosoa. Kwanza Kuwait inaongozwa na emirs ambao ukoo wao hauna uhusiano wowote na Al Saud.
Hata sijui hizi data nilizotoa pale nilizikurupua wapi. Nilichanganya sana mambo.
Wee jamaa umenichekesha sana ujue[emoji23][emoji23] yaani kwamaana pale ulikua umegonga nyagi ama yokodhuna[emoji14][emoji12]

Ila kiukweli hua nakuelewa sana Mkuu wewe na Paula Paul

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu asante kwa kunikosoa. Kwanza Kuwait inaongozwa na emirs ambao ukoo wao hauna uhusiano wowote na Al Saud.
Hata sijui hizi data nilizotoa pale nilizikurupua wapi. Nilichanganya sana mambo.
Hawa wafalme wa Bahrain hawana uhusiano wowote na huu ufalme wa Saudia?
Au ni huu Usunni ndio unawaunganisha japo raia wengi wa Bahrain ni washia.

Kama unakumbuka wakati wa Arab spring utawala wa Saudia ulipeleka jeshi huko Bahrain kukandamiza maandamano ya raia ambao wengi wao ni washia.
 
Bahrain ni kingdom inajitegemea tofauti na Kuwait.
Kuhusu mahusiano ya Al Saud family nilikosea kuhusisha mauaji ya mfalme mmoja wa Saudi Arabia miaka ya 1970's sikujua namna alivyofatiwa na brother wake mdogo.
Nilidhani alipouwawa wale waliostahili kumfatia kwenye ufalme walikimbilia Kuwait but ukweli ni kuwa wasingeweza kuwa viongozi wa Kuwait maana kule wana ukoo wao wa kifalme pia.

In short nilikuwa nachanganya mambo kama ilivyotokea China (PRC) na Republic of China(Taiwan).
Alipokimbia Chiang Kai-Shek kwenda Taiwan serikali ya China ikaanza kuongozwa kutokea kule. Uku mainland nayo ikachagua Beijing kuwa mji mkuu na ikawa serikali mpaka leo tunavyowaona.
 
Nilichanganya data mkuu. Ingawa nikajistukia then nikatazama family tree ya ukoo Google nikakosa ushahidi.
 
Aliharibu ni mfalme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBS ana tabia sawa na babu yake Al saud ambaye iliyeanzisha huo ufalme. Yule Mzee alikuwa ruthless kama MBS tu.
 
Kuna nyakati(Maranyingi)Hua unaongea facts sana Japokua maramoja moja hua unateleza kama kawaida yetu bina adam

Ila nlimsahau na Proved nae hua namuelewa mnooo


Nb:Sio kwamba siwezi wapinga kwakua nawaelewa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Nb sasa😊.
Lazima unipinge maana wewe ni Mu-iran mweusi na mimi ni mjukuu wa taifa teule..lol.

Asante Bwana utam, I'll take that as a compliment.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…