Saudi's Lashing Old Women; Is it Law or Religion?


Endelea, Mkuu. Endelea!
 

Nimeitoa hapa: staff.4j.lane.edu/~wiebe/ihs/global/islam/docs/sharia.doc
Kwa wewe unaetetea bila kutafuta ukweli.

Kuna makosa matano tu (makosa ya Hadd) ambayo Quran imetoa hukumu. Katika hayo, hili la kukaa sebuleni na watu wasio jamaa zake halimo. Viboko wanachapwa wale waliokutwa wakifanya uzinzi, ulevi na kumsingizia mwenzao uzinzi. Hakuna mahali katika ishu hii ambapo panasema huyu bibie alifumaniwa katika threesome na hao vijana! Shehe uchwara akatafsiri ati kwa sababu anaweza kufanya nao zinaa basi amefanya nao! Na wakina Dar es Salaam wanakubali na kuitikia bila kudadisi! Mnatetea upotoshaji wa dini yenu ili mradi aliyefanya hivyo anajiita muislamu.Tutafika kweli?

Amandla..........
 

Nimekuambia Sudan haifati Sharia, nimekuambia huyo mwanamke kama kachapwa viboko iwe Sharia au sheria basi astahili yake kwani kila nchi ina Sharia au sheria zake.

Hakuna sehemu niliyosema hiyo ni hukumu ya Sharia, na sasa unanisaidia ku-prove.

Hata sikuelewi unachong'ang'ania ni nini? au husomi ninachoandika? wewe mradi ubishe tu?

Wewe ndie unaepotosha ukweli kwa kuwa hujui unachokipinga.

Nionyeshe kwenye post zangu wapi niliposema hiyo ni Sharia? na kwa kifupi nilikueleza hata kama hiyo ni Sharia (inawezekana pia) mimi sijui.

For your information Sharia ina kitu inaitwa ''kias'', inaweza kuwa imetumika kwa huyu mwanamke kuchapwa mboko. Kosa lake si katika makosa ya Hadd kama usemavyo, na hiyo haimaanishi kwamba haikutumika Sharia.

1) Jee mwanamke wa miaka 75 hawezi kufanya ngono?

2) Jee mwanamke au mwanamme wa miak 75 hawezi kufanya kosa la kisheria na kuhukumiwa adhabu?

3) Jee mwanamke au mwanamme wa miaka 75 akifanya kosa (lolote lile liwalo) sheria inamfungia macho?

4) Sharia au sheria huwezi kuivunja kwa sababu tu, umri wako ni mkubwa.

5) Nimekuonesha na nimekubandikia (paste) habari za mwanamme wa miaka 85 tena ni kiziwi ambae kafungwa jela New Zealand kwa kosa la wizi tena wa mboga tu, (pengine alikuwa na njaa masikini kizee cha watu). Lakini sheria imemfunga.

Jee, kwa nini huyo mzee tena wa miaka 85 siyo issue na issue iwe ya mwanamke aliyekutwa na vijana wawili waki ''mingling'' peke yao?

Tafadhali usijaribu kuponda Sharia au sheria za wenzako kwa kisingizio cha udini. Dini ya kiIslam inasheria zake na kuna nchi wanazifata na inatakiwa ukiwa huko uzifate, ukitaka usitake. Hali kadhalika wasiofata sheria za Dini, wana sheria katika nchi zao na zina hukumu zake na inabidi uzifate ukitaka usitake na ukifanya kosa utahukumiwa accordingly.

Kuna nchi nyingi ambazo ni za kidini pasi ya uIslam lakini hazifati sheria za vitabu vyao, aidha makusudi kabisa au kwa kuwa hawaamni hivyo vitabu vyao kuwa ni vya Mungu au kama wanaamini ni vya Mungu basi wanaona Mungu kafanya makosa katika hizo sheria ndio wanaleta zao za kibinadam, matokeo? utajaza mwenyewe, statistics zinaonyesha na unajuwa wapi pa kuzipata.

Unachobisha ni nini?
 
Muanzishaji alikuwa na nia ya kuuliza...lkn matokeo yakawa tofauti.

Fundi Post ya mwisho uliyoweka ni post ya msingi juu ya Sharia za Kiislam ambazo Quran imeweka.

Ktk Utaratibu wa Quran ukiiangalia kwa makini hauna lengo la kuwaadhibu watu, lengo maovu kuondoka ktk Jamii. Na ndio maana makosa mengi yamehitaji uthibitisho, na ikawekwa pia kumsingizia mtu pia ni kosa....kwa kumsingizia mtu pia linavunja heshima ya mtu.

mfano kwa kesi ya zinaa, Quran imehitaji mashahidi 4, kwa utaratibu huu hata mkiona 3 kwa macho yenu, Bado ushahidi wenu hauwezi kukubaliwa ktk mahakama za Kiislam....(exceptions kwa mke na mume tu ushahidi wao kwa mmoja wapo unakubaliwa, plus Viapo mara 5)

Sina Hakika kama Hukumu iliyopitishwa Saudia ya Bi Kizee kuwa imetoka kwa Quran au Hadithi za Mtume(SAW) as fundamentals source of islamic jurispendence...(otherwise tupate data Hakimu amedraw QIYAS kwa ground gani.....)

Kwa Namna nchi zilivyowekwa sasa Hakuna Nchi ambayo 100% wanafuata Sharia za Kiislam...Saudia na wengine wanafuata baadhi tu ya sharia.
 

Mkuu, Chuma. Umenirudishia imani katika jamii yetu.

Amandla.........
 

Hakuna sheria Saudia nje ya Sharia. Sheria zote, hata hiyo ya kuzuia wanawake kuendesha gari, zimekuwa based kwenye intrpretation yao ya Sharia.

Kwani Sharia inatoa hukumu kwa uwezo wa kufanya ngono na si kufanya ngono? Kama ni hivyo, kuna haja gani ya kutaka ushahidi ( tena mzito) kwenye ishu za uzinzi?

Hakuna mahali ambapo panasema palipelekwa ushahidi wa kuwa huyu bibie alifanya ngono. Sasa kama hiyo adhabu imekuwa based kwenye speculations basi inaonyesha kuna fundamental bias katika mtazamo wote.


Huo mfano unaouzungumzia unahusu mtu aliyekamatwa zaidi ya mara 50. New Zealand wana social security system inayowalea vikongwe kama hivi kwa hiyo suala la njaa halipo.

Tena, ni lazima tuelewe tunapozungumzia jela kwa wenzetu ni sehemu za namna gani. Huyu ni lazima atawekwa kwenye Minimum security jail ambako atakuwa na haki kibao.

Yote haya ni tofauti na hukumu ya kumkata mkono ambayo bila shaka ingemkuta kwenye nchi inayofuata Sharia.

Hatukatai kuadhibiwa mtu kwa kufanya kosa. Tunachopinga ni adhabu zisizoendana na kosa. Hauwezi kulinganisha kukaa sebuleni na watu wasio jamaa zako na udokozi uzoefu. Hauwezi kulinganisha viboko 40 na jela mwezi mmoja katika minimum security prison New Zealand!

Statistics ulizoweka mwenyewe hazitetei hoja yako. Saudi Arabia ina murder cases nyingi kuliko Jamaica! Utetezi kuwa wanaotenda hizo mada ni wageni hauna mantik.

Amandla.....
 

Kama ''mingling'' ya mwanamke na mwanmme ni kosa huko Saudia na hukumu imetolewa kwa kosa hilo, kuna tatizo lipi?

Na kosa hapo si kukaa, kosa ni ''mingling'' na tafsiri ya mingling uliileta mwenyewe, sasa una tatizo gani?

Unaambiwa Sharia ina ''kias'' na kila kosa linaloainishwa ki Sharia kama halina hukumu yake kwenye Qur'an basi lina hukumiwa kwa ''kias''.

Ndio hapo utapoona kuwa sheria haina umri, mzee wa miaka 85 kafanya kosa kahukumiwa jela kutokana na hukumu zao huko alikohukumiwa, no matter hata ikiwa jela ni kama 5 star hotel huko kwao. Sheria ya huko imechukuwa mkondo wake.

Hali kadhalika mwanamke wa miaka 75 ana mingle na vijana wawili wanaoweza kumuoa, huko alikohukumiwa ukikutwa na kosa kama hilo hukumu yao ni mboko na huyo mwanamke kacharazwa accordingly.

Tatizo ni nini? linalokufanya wewe usielewe? kuwa kila nchi ina Sharia au Sheria zake na ina hukumu zake? au tatizo ni umri wa huyo mwanamke? kama ni umri umeshaona kuwa umri hauko juu ya Sharia au sheria. Au tatizo lako ni nini hasa?

Statiscs zangu still zinaonyesha Saudia iko namba 62 katika nchi 63 zilizofanyiwa sampling, hii inaonyesha kuwa crime rate ni ndogo sana uki-compare na hizo nchi zilizo juu yake. Hizo statiscs zako sijuwi ziko wapi? zangu nimekandamiza hapo juu.
 


Ninachopinga mimi ni kumchapa viboko mtu kwa sababu tu amekutwa na watu wasio jamaa zake sebuleni. Ni wangapi kati yetu ambao thuwa tunawatembelea rafiki za mama zetu, mama za rafiki zetu, majirani zetu walio watu wazima wa jinsia tofauti bila kuwa na wazo la ngono? Leo hawa waislamu safi wanamcharaza viboko na kumfunga mwanamke kwa kuletewa mikate na vijana anaowafahamu! Halafu, bila aibu unatetea upuuzi huo?

Si sheria zote zinazotumika katika nchi ni za haki. Makaburu walikuwa na sheria za kibaguzi. Hizi zilipingwa kwa sababu hazikuwatendea haki watu weusi. Wamarekani walikuwa na sheria inayoruhusu kunyongwa watoto wadogo. Hii ilipingwa kwa sababu haikuwatendea haki watoto. Zote hizi zimefutwa baada ya kelele ya watu. Vile vile hii sheria au Sharia kama ilivyo, inastahili kupingwa maana inawatendea dhulma wakina mama.

Statistics zako zinahusu Murder na si makosa mengine. Zangu zinahusu makosa yote yanayohesabiwa kuwa ni uvunjaji wa sheria.

Bado unatafuta statistics zangu? Nimekuwekea link ( posting namba 28), umesema hauioni. Nime-copy na ku-paste ( posting namba 76), bado unadai hauioni. Au tatizo ni kuwa haujui kusoma na kuna mtu anakuandikia? Wasiwasi huu unatokana na kuwa hata ku-quote data zako kunakushinda. Kutokana na statistics zako zinazohusu homicides, Saudi Arabia ni ya 61 ( si ya 62) na Qatar ni ya 62 .


Enough said. I am out of here.

Amandla.......
 

Qias ni reasoning . Qias haibadili maana ya hadd. Sasa itakuwaje itumike Qias kubadili kukaa sebuleni kuwa zinaa? Kuna reasoning gani hapa?

Msipende kutudanganya. Kwa kufanya hivyo, mnawafanya wengine wakose imani na dini yenu!
 
Qias ni reasoning . Qias haibadili maana ya hadd. Sasa itakuwaje itumike Qias kubadili kukaa sebuleni kuwa zinaa? Kuna reasoning gani hapa?

Msipende kutudanganya. Kwa kufanya hivyo, mnawafanya wengine wakose imani na dini yenu!

Tafadhali usibadilishe maana, yule mwanamke hakuchapwa kwa kufanya zinaa, na viboko arubaini siyo hukumu ya zinaa.

Amehukumiwa kwa ''mingling''.

Wapi ulipoona amehukumiwa kwa zinaa?, nakuambia muda mrefu sasa ''usitie maneno yako kinywani mwangu''.

Mimi naona wewe ndie unaejidanganya kwa kuzuwa yasiyokuwepo, hujajibu hata swali moja nililokuuliza, unakurupuka mara Sudan, mara zinaa, mara statistics ambazo umeshindwa kuzikandamiza hapa, ni nini hasa kinachokusumbuwa? hebu kuwa mkweli.
 
Qias ni reasoning . Qias haibadili maana ya hadd. Sasa itakuwaje itumike Qias kubadili kukaa sebuleni kuwa zinaa? Kuna reasoning gani hapa?

Msipende kutudanganya. Kwa kufanya hivyo, mnawafanya wengine wakose imani na dini yenu!


Hata hiyo uliyoi-paste inakusuta, na kama nilivyokwambia imetumika ''Kias'' katika hukumu ya ''mingling'' na hakukamatwa kwa zinaa wala hakuhukumiwa kuwa kafanya zinaa. Narudia, kahukumiwa kwa mingling na vijana wa kiume wawili wanaoweza kumuoa kisheria, wala sio kukaa sebuleni kama unavyotaka wewe, Na maana ya mingling uliitafuta mwenyewe ukaibandika hapo juuu, au irudie uisome uone tofauti ya kukaa sebuleni na minglig. Au?

Sasa wewe hiyo ya kubadilisha mingling kuwa zinaa umeitowa wapi? au ndio kuhaha huko?
 

Sheria ya viboko inahusu zinaa na si mingling kama unavyotaka kutuambia. Ili huyu mama ahukumiwe hivyo viboko basi ilitakiwa itumike Qias kugeuza kitendo cha mingling kuwa zinaa. Kwa kifupi hakuna viboko kwa ajili ya "mingling". Qias haibadilishi sharia bali inatumika kuifafanua. Kwa mfano, Hadd inazungumzia unywaji wa mvinyo lakini Qias inatumika kuunganisha hata ulabu wa bia, whisky n.k. kuwa ni ulevi ingawa havikutajwa kwenye Sharia. Kwa hali hiyo, mlevi wa bia atahukumiwa sawa na mlevi wa mvinyo. Adhabu yao wote hao ni bakora.

Kwa mantik hii basi, katika hii ishu, Qias imetumika kufananisha kukaa sebuleni ( ambayo haimo katika Hadd) kuwa sawa na zinaa ambayo imo katika Hadd na adhabu yake ni viboko. Asingeweza kupewa adhabu hiyo kwa namna nyingine. Rationale ya kufanya hivi ni suspect. Bila shaka waliomhukumu walitaka mali za huyo bibi mgeni hasa ukizingatia kuwa adhabu iliendana na yeye kufukuzwa Saudi Arabia. Hakuna cha Sharia hapa, ni uonevu mtupu.

Ikiwa mingling ni Hadd basi kwa namna yeyote wanawake wasingeruhusiwa kuchanganyika na wanaume sehemu yeyote. Wasingeruhusiwa kutumia barabara moja na wanaume, wasingeruhusiwa kupanda ndege moja na wanaume, wasingeruhusiwa kwenda sokoni, n.k. Mingling si sebuleni tu au kwenye sehemu za starehe. Ni sehemu zote.

Naona nampigia gita mbuzi. Kwa hali hiyo, mchango wangu katika mada hii unaishia hapa. Napoteza muda kujadiliana na fanatic ambae hata vitabu vyake vinamshinda kuelewa.

Amandla.......
 

Pole sana, naona mambo ya Hadd na Kias yamekupiga chenga, bora usilikoroge, kama hujui ukisemacho bora ulivoamuwa ukae kimya tuu, utachekwa!
 
Pole sana, naona mambo ya Hadd na Kias yamekupiga chenga, bora usilikoroge, kama hujui ukisemacho bora ulivoamuwa ukae kimya tuu, utachekwa!

Inawezekana kabisa kuwa yamenipiga chenga. Lakini bado nasimamia hoja yangu kuwa kumtandika bakora mtu yeyote kwa kukaa sebuleni na mtu anayeweza kumuoa ni uonevu wa hali ya juu! Iwe imetoka kwenye Sheria, Sharia, Hadd, Qias, Quran, Mahabharata au hata Biblia!

Amandla......
 
Kuhani what makes you think that. I think you should take it easy and make it as funny.
 

...Nuff sed!
 

Kwa hiyo tatizo la umri halipo tena au sio? Sasa hiyo ndio adhabu ya tendo walilofanya, Kichwa cha habari kinasema ''mingling'', iwe sebuleni au kwengine kokote kule, it doesn't matter. Wewe kama unaona ni adhabu kali basi ukiwa huko usijaribu ku-mingle na wanawake unaoweza kuwaoa, ukikamatwa hukumu yake ni mboko kwa wote na kifungo juu. Hiyo ndio Saudia.

Kama vile wewe uonavyo ni uonevu kuchapwa bakora mwanamke anae mingle na wanaume wanaoweza kumuowa, mimi kwa upande wangu naona ni uonevu mkubwa wanawake wanapotembezwa jukwaani uchi au nusu uchi wakishindanishwa nani zaidi.

Saudia Motto is: LOVE IT OR LEAVE IT
 

Let us read the ins and outs of Koran, Islam, and Sharia Law

Democracy and freedom are an affront to Allah. All constitutions are offense to Allah and must be destroyed and replaced with Sharia Law.

Large parts of the Koran are legal code and form Islamic constitutional law. Since Muslims believe that these laws come from Allah and Mohammed they are of a higher order truth than any man-made laws. Therefore, Sharia law must replace all other forms of government.

Sharia is the legal code ordained by Allah of Ilsam for all mankind, according ot Muhammadans. To violate Sharia or not to accept its authority is to commit rebellion against Allahof Muhammad, which Allah's faithful are required to combat. Under Sharia law, all kafirs are second class citizens. Women can be beaten and slavery is allowed, as they did to the 75 years old poor lady. And just as in political Islam, Sharia wicked law cannot be reformed.

For that matter, democracy violates Sharia law. Democracy assumes equality of all peoples. Islam teaches that a Muslim is a better person than kafirs and that the kafirs should submit to Islam.

There is no separation between the religious and the political in Islam; rather Islam and Sharia constitute a comprehensive means of ordering society at every level. While it is in theory possible for an Islamic society to have different outward forms -- an elective system of government, a hereditary monarchy, etc. -- whatever the outward structure of the government, Sharia is the prescribed content. It is this fact that puts Sharia into conflict with forms of government based on anything other than the Quran and the Sunnah.

In order to understand Islam, you must suspend all rationally and reason. Everything you have ever been taught about God, the equality of humanity, morality, goodness and kindness must be abandoned for the irrational, immoral World of Allah - the ANTI GOD where murder, rape, slavery, terror, torture, brutality, hate are not criminal acts but all holy blessed duties to be rewarded by God.

Islam is all about Muslim men. It is an evil ideology created by a man - Muhammad for his male followers granting them unlimited sex, riches, and political power. Allah hates all Muslim women with a deep seated loathing. Muslim women are vile, dirty, stupid creatures. Muslim men can have multiple wives, unlimited sex slaves, can marry and rape Muslim baby girls, beat his wives, and murder them and his daughters if they dare impugn his honor.

In Islam there is no Golden Rule - treat others as you wish to be treated.

The Golden Rule is centered on ethics, not god, and is universal to all cultures, except Islam. Indeed, the whole Islamic Trilogy (Koran, Sira and Hadith) denies the truth of the Golden Rule.

This is why even here at Jamii Forum you will continue to see these Islams fighting for Sharia wicked law. It is shame and sad to see that these people still can't see that Marehemu Muhammad was just a bogus man and full of bs.

Benediction: Poleni sana wafuasi wa dini ya wamanga.

Max Shimba, A bondservant of Jesus Christ, KING of Kings and LORD of Lords.
 
Endelea, Mkuu. Endelea!

Misingi mingi ya kikandamizaji na kifashisti ya Shariʿa iko informed na hadithi:

"Allah (Subhanahu wa ta'ala) will curse those procrastinating women who, when their husbands call them to their beds, say ‘I will, I will . . .' until he falls asleep."

( See A sahih hadith by al-Tabarani Majma' 4/296...)























Hadeeth zinazo inform misingi ya kifashisti ya Sharia hazina mpango!​
 

Sheria ya kuchoma watu hai ni hii hapa chini. Uislam ni balaa.

Tabari VIII:122/Ishaq:515 “The Prophet gave orders concerning Kinanah to Zubayr, saying, ‘Torture him until you root out and extract what he has. So Zubayr kindled a fire on Kinanah’s chest, twirling it with his firestick until Kinanah was near death. Then the Messenger gave him to Maslamah, who beheaded him.”

Alafu wakakata kichwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…