MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
CCM CHAMA CHA MATAPELI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si angefunga biashara na kuvunja nao mikataba kama biashara haikuwa na mauzo? Hivi umeandika ukiwa na akili timamu?Tatizo la mtoto wa Mbowe limetengenezwa na chama tawala enzi za muenda zake. Unazuia gazeti lisitoke, no mauzo , no mishahara
Kibabe hiyoHUU MCHEZO N MCHAFUNNA MREFU
SHIDA MMOJA WENGI HUKIMBILIA MAHAKAMAN
MM 2015 KUNA KIWANJA NILIPEWA NA MAMA.KINA KAJUMBA AKAISHA MBWEN
AKAJA MJINGA MMOJA SIKUUNAENDA NAKUTA WANAPIGA UZIO NIKARUDI KWA.MJOMBA WANGU MMOJA YUKO MANISPAA AKANSHAURI MWACHE LEO NA KESHO
NIMMKANDARASI ANA HIZI MASHINE ZA KUBOMOA KAMA ZOTE...NILIPOENDA ALICHEKI NA POLISI WA MBWEN WAKTUPA ASKARI KWENDA PALE TUKO NA GREDA IMEPAKI SEHEMU
NEAR
DK MBILI AKAITWA MLINZI.MASAI NA FUNDI.MKUU WAKAITA WENZIE WAKAPELEKWA CHEMBA WAKAIPGWA PINGU
MZIGOO UKAINGINGIAAA HAKUNA RANGI ALIACHA ONA SIKU HIO TULINYANYUKAMMPAKA NA MSINGI WA UKUTA NA MATOFALI YAKAWA CHANGARAWE
TUKAWEMA NDAN WALE WALINZI...AKAJA JAMAA AKAOMBA TUWASILIANE TUKAE TUANGALIE TUNAFANYAJE NKAMPA NAMBA YA UNCLE
BAHATI AKATOA USHIRIKIANO NA KIASI NILIICHOHITAJI NA USUMBUFU AKAWA READY TUKAKUTANA KWA WAKILI NKAKABIDHI HATI NIKAMPAA USHIRIKIANOMWOTE KUBADILI HATI
SHIDA MWANZON WANAKUWA JEURI NA WATU WA ARDHI NAMMANISPAA NDIO WANAWATIA JEURI
MJOMBA ALISEMA HAWA UKISUBIRI MAHAKAMAN WANAMALIZA NA KUJENGA GHOROFA TUMALIZANE NAO ..AKAENDA KUCHEKI LABDA KAMA ALISHABADILI AKAKUTA JINA LA.MAMA DAH ATUKUSBUBIRIA
YAANI MPWAA NINGEJUA NAMBA YAKO MAPEMA UNGENIPA ULIINZI MAANA NILIENDA NIMEJIMWAGIA MAJI MAFUTA YA MWAMPOSA KAMAYOTE LIWALO NA LIWEKibabe hiyo
Umafia umafia
Ova
Kajengaje mkuu na je aliposhindwa unajuaje alikata rufaa wale wanpigq dili na mah....kesi inaenda mpaka unakufa unaoza wao wanakula bataHiyo nyumba ilishatolewa maamuzi. Mahakamani na sauli alishindwa. Kesi
Tumeelewa, 1+1=2.Mwaka jana Chadema walipokuja Mbalali Sauli Alichana kadi ya CCM na kupewa kadi mpya ya Chadema
Sidhani kama atarudi hapaAkileta nistue
Utajiri wa ndagu huoHuyu mjanja janja tokea zamani
Mpaka katoboa kuwa tajiri si mchezo
Ova
Story ya SH ni tofaut sana na hakutapeli mtu.Msama vile viwanja alivyotapeli alitapeli jana?
Najua kila kitu, Sauli alitumia Ujinga wa akina Pazi akishirikiana na MahakamaStory ya SH ni tofaut sana na hakutapeli mtu.
Kwenye biashara mali za urithi zina changamoto sana.
Fuatilia issue yake vizuri
Wamiliki wengi waswahili kkoNajua kila kitu, Sauli alitumia Ujinga wa akina Pazi akishirikiana na Mahakama
Mkataba wa ajira hauvunjwi kama mkataba wa kuuziana chupi mamaa.Si angefunga biashara na kuvunja nao mikataba kama biashara haikuwa na mauzo? Hivi umeandika ukiwa na akili timamu?
well done waziri comrade Jerry Slaa🐒Mbunge wa Zamani wa ccm huko Rungwe, Sauli Pattaya, amewekwa kitimoto na Waziri wa Ardhi Jerry Silaa kwa utapeli wa wa Nyumba ya Udongo, kuivunja na kujenga jengo la ghorofa 8 kwa kushirikiana na kampuni ya udalali ya Benki
Imeamriwa kwamba S H AMON awagawie aliowadhulumu sehemu ya Hisa za Jengo hilo .
Hawezi kufika mbali, ubunge jimbo la Ukonga hapati tena, alipita kwenye ule uchaguzi wa dhulma na hata kura za maoni alishinda muhindi.Umekiri kuwa Waziri Slaa ana kitu, atafika mbali?
Ni Silaa siyo Slaa.well done waziri comrade Jerry Slaa🐒