Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.
Karibia kila chuo nchini kina that paticular passmark. Chin ya 50 ni sup.
So jitahidi usome. Hakuna anaefika chuo wakati ni kilaza. Umebahatika SAUT wanafundisha kama vile uko kwene zile skuli za private [english medium] nikiwa namaanisha spoon feeding. So why upate 49?
Chuo chako kwanini hawakufundishi kwa spoon feeding.
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.
Mbona kama unaongea kinyume?nadhani wahitimu wa SAUT na UDOM wana GPA za nguvu na tetesi zilizopo ndio walisababisha TPDC warudie mchakato wa ajira na kuondoa kipengele cha GPA baada ya kuona waombaji wengi ni wa hivyo vyuo na miGPA mikubwa lakini wengi hamna kitu kwenye interview
Mkuu umekamatwa?
kama SAUTI HUWEZI NJOO SUA, UTAFAULU.....
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote? km umeshindwa kufaulu saut we bas hubebekiUkienda Roma Na Wewe Ishi Kama Waroma Mkuu. Wote Tumepitia Ugumu Huo Huo Wa SAUT ila Weka tu Nia, Kazana na Utafanikiwa tu. Kikubwa Wote Tuelimike, Tuwe na Ujuzi na Tuisaidie Nchi Yetu na Tuwasaidie Wale Wenzetu Ambao Hawakubahatika Kupata Elimu Tuliyonayo. Nakuombea Mafanikio Wewe Na Wengine Wote Mlio Masomoni ktk Vyuo Mbalimbali Ndani na Nje Ya Tanzania.
siku nyingine usiangalie cheti mkuu, angalia output na huyo rafiki yako wa UDSM uone kama umeonewa tena.Hapana mkuu nilikuwa naangalia cheti changu na rafiki yangu kasoma udsm naona kama nimeonewa.
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote? km umeshindwa kufaulu saut we bas hubebeki
Vp chuo cha Moro!
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote?
labda hakifaamu uyo sua pale ni stor nyingne aseee
kama SAUTI HUWEZI NJOO SUA, UTAFAULU.....