SAUT acheni kuumiza wanafunzi wenu kwa pass mark

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.
 
Karibia kila chuo nchini kina that paticular passmark. Chin ya 50 ni sup.
So jitahidi usome. Hakuna anaefika chuo wakati ni kilaza. Umebahatika SAUT wanafundisha kama vile uko kwene zile skuli za private [english medium] nikiwa namaanisha spoon feeding. So why upate 49?
 
Chuo chako kwanini hawakufundishi kwa spoon feeding.
 
Mbona kama unaongea kinyume?nadhani wahitimu wa SAUT na UDOM wana GPA za nguvu na tetesi zilizopo ndio walisababisha TPDC warudie mchakato wa ajira na kuondoa kipengele cha GPA baada ya kuona waombaji wengi ni wa hivyo vyuo na miGPA mikubwa lakini wengi hamna kitu kwenye interview
 
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.

Vp chuo cha Moro!
 
Hiyo kawaida cha msingi ni kukaza tu MountMeru university below 50 ni supplementary
 
Mbona kama unaongea kinyume?nadhani wahitimu wa SAUT na UDOM wana GPA za nguvu na tetesi zilizopo ndio walisababisha TPDC warudie mchakato wa ajira na kuondoa kipengele cha GPA baada ya kuona waombaji wengi ni wa hivyo vyuo na miGPA mikubwa lakini wengi hamna kitu kwenye interview

Wewe ni -------- na mwongo.Kwahyo TPDC maombi ya vyuo vya gpa ndogo za watu wazuri waliyazuia posta au? Kwann hayakufika pale na interview mkaperform vizuri?
Wewe ndo wale mnaoamini kuwa aliyesoma udsm yeyote ni mzuri.
Lakini mm ninachokijua kwa mfumo wa elimu ya vyuo vikuu kila chuo kina strengths na weaknesses zake.inategemea ww mwenyewe uko vp.
 
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.

Ukienda Roma Na Wewe Ishi Kama Waroma Mkuu. Wote Tumepitia Ugumu Huo Huo Wa SAUT ila Weka tu Nia, Kazana na Utafanikiwa tu. Kikubwa Wote Tuelimike, Tuwe na Ujuzi na Tuisaidie Nchi Yetu na Tuwasaidie Wale Wenzetu Ambao Hawakubahatika Kupata Elimu Tuliyonayo. Nakuombea Mafanikio Wewe Na Wengine Wote Mlio Masomoni ktk Vyuo Mbalimbali Ndani na Nje Ya Tanzania.
 
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote? km umeshindwa kufaulu saut we bas hubebeki
 
Hapana mkuu nilikuwa naangalia cheti changu na rafiki yangu kasoma udsm naona kama nimeonewa.
siku nyingine usiangalie cheti mkuu, angalia output na huyo rafiki yako wa UDSM uone kama umeonewa tena.
 
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote? km umeshindwa kufaulu saut we bas hubebeki

Saut unafaulu bila kusoma eti eeh ninachoongelea ni pass mark na sio ufaulu.
 
kwa nini haulalamiki na mitihani ya vyuo iwe inafanana kwa vyuo vyote?

aisee... same exams to different courses? different nature of lectures? different seasons of opening..

labda cbe ndo wanaweza.. wao wanafundishwa vitu vinavyofanana ila sio kwa level ya HL institutions.
 
Back
Top Bottom