Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.

alafu mtoa mada acha kupotosha, mm nasoma saut na pass ni 40 ss ww cjui iyo 49 umeitoa wp

Unasoma SAUT ya wapi ambayo 40 ni pass.
alafu mtoa mada acha kupotosha, mm nasoma saut na pass ni 40 ss ww cjui iyo 49 umeitoa wp
Kila mtu anafaham kuwa vyuo ving vya private vinajiendesha kwa michango ya wnfz,ukisema wadisko,ina maana chuo kifungwe