ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Hiki chuo pass marks zake zipo juu sana kulinganisha na vyuo vya serikali maana kwenye soko la ajira wakati mwingine wanaangalia ufaulu mfano kwa saut mtu anaepata chini ya 49 huyo kafeli wakati vyuo kama Udom na Udsm kafaulu, ni bora sasa pass mark zilingane na vyuo vya serikali.
Unaelewa pass mark ya SUA ni ngapi? je sio cha serikali?