SAUT C mwisho 50, UDSM mwisho wa c 40

SAUT C mwisho 50, UDSM mwisho wa c 40

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
680
Naomba kufahamishwa kwanini izi grade zipo tofauti, mfano udsm c yao inaishia 40 na saut c yao mwisho ni 50, unakuta mtu mwenye lower second saut akija udsm kwa maksi zao anakua na upper second.

JE TCU MNA UTARATIBU GANI WA KUHAKIKISHA KUNAKUA NA USAWA KATIKA HILI? Lengo Langu Ni Kupata Mawazo Chanya Na Matusi Hayataruhusiwa.
 
I think kuna tofaut kidogo kati ya Public universities na Non public(private). Thats why.
 
UDSM A:70-100, B+:6O-69 B:50-59 C:40-49 D:35-39 E:0-34. umegundua ulipokosea?
 
Muhimbili toka ikiwa chini ya UDSM pass ni kuanzia 50. Halafu wenyewe wanapewa penalty kwa swali ulilokosea. Inaweza pass ikawa 50 au 30 au 20 hata 10, lakini maswali magumu kiasi gani?
 
Tatizo vjana mnalinganisha vyuo cku zote aliye kutangulia kakutangulia tu hamuwezi kuwa sawa vikubalini vyuo vyenu haina haja ya kuanzisha majibishano yasiyo na.msingi mana kila chuo kina terms na.condition zake mbona hata Sua ni 50
 
Wewe uliyeleta uzi nina mashaka elimu haijakukomboa sasa kama "c" ya saut ni 50 so what?acha upumbav wa elimu ya kwny makaratasi na vyeti,tunataka elimu yako iwe na positive impact kwny jamii na mazingira yanayokuzunguka co unaanzisha mijadala ya kijingajinga
 
Wewe uliyeleta uzi nina mashaka elimu haijakukomboa sasa kama "c" ya saut ni 50 so what?acha upumbav wa elimu ya kwny makaratasi na vyeti,tunataka elimu yako iwe na positive impact kwny jamii na mazingira yanayokuzunguka co unaanzisha mijadala ya kijingajinga


Kwahiyo huu ni mjadala wakijinga ?

Yaani watanzania tupo kama Wachawi !
 
wewe uliyeleta uzi nina mashaka elimu haijakukomboa sasa kama "c" ya saut ni 50 so what?acha upumbav wa elimu ya kwny makaratasi na vyeti,tunataka elimu yako iwe na positive impact kwny jamii na mazingira yanayokuzunguka co unaanzisha mijadala ya kijingajinga

i think una tatizo la emotion turmoil mr, mada imewekwa jadili acha kukurupuka
 
Basi makerere wako juu sana, coz 50 to 60 ni D plain, 49 umesap.....
 
Karibia matawi yote ya sauti...pia chuo nadhani ni mtu kujielewa tu haijalishi upo chuo gani kwa sababu chuo kinakujenga kwa namna wewe unavyo onesha nia ya kujua zaidi, sasa endapo wewe unakula bata then utegemee kuwa muhitimu bora itakuwa ajabu.
 
mm huko sipo, ila kuna chuo, booklets za semester exams na final exams zinarudishwa kwa waliofanya mitihani, na malecturer wanaandika EXCELLENT, VERY GOOD, POOR etc ktk booklets!
 
Jifunzeni jinsi ya kujiajiri hizo F wala A+ hazina tija.
 
Back
Top Bottom