SAUT kuna kozi yoyote ya Uhandisi?

SAUT kuna kozi yoyote ya Uhandisi?

adinag

Member
Joined
May 13, 2014
Posts
87
Reaction score
11
wakuu
Naomba mnijuze eti wana kozi yeyote ya uhandisi? Kama ipo ni zipi? Natanguliza shukrani
 
1. Bachelor of Science in Electrical Engineering 2. Civil Engineering Karibu mkuu nyumbani kwetu Malimbe!
 
Sina tcu guide book ndugu.

Access ya internet kuingia Facebook,instagram, na jamii forum upo nayo but hujui how to access TCU website kupata admission guide book,uhandisi huuwezi wewe maana uhandisi hautaki watu wavivu wa kufikiri kama wewe,yaan mnajua faida ya internet ni kuingia social networks tu,duuh kazi ipo kwa wasomi wetu,na bora uulizie uhandisi huko huko SAUT maana DIT,UDSM,ARDHI hupawezi
 
Ni vyema ifike wakati watu mjitambue sasa na kutafakari kwa kina kabla hamjachangia. Ninawasimamia mabwana wadogo watatu wa uhandisi, mmoja ni wa SAUT na wengine ni UDSM wote ni PT2, ukweli ni kuwa huyu wa SAUT anaonekana kuwa ni bora zaidi kuliko wenzake; nilipowataka kunipa ufahamu wao kuhusu Water Hammer, Hydraulic Gradient Line, Soil Stabilization, Soil Consolidation na mengine mengi, ni mwanafunzi wa SAUT pekee aliyeweza kuyajibu maswali yangu kwa ufasaha, na wenzake walibaki kunitazama tu. Ushauri wangu: kazini watu hawatazami ulisoma wapi; bali, unafamu nini kitachoinufaisha taasisi uitumikiayo, sasa basi ni vyema mkajirekebisha kimtazamo kabla hali haijawa mbaya zaidi.
 
Acha kudanyanya na wewe,unafanya kazi wapi?wewe mwenyewe mwanafunzi wa saut unataja course content zenu hapa,eti unataka kuzuga unasimamia PT haya tuambie kampuni gani na ipo wapi ?mhandisi toka lini akatoka saut
 
Ni vyema ifike wakati watu mjitambue sasa na kutafakari kwa kina kabla hamjachangia. Ninawasimamia mabwana wadogo watatu wa uhandisi, mmoja ni wa SAUT na wengine ni UDSM wote ni PT2, ukweli ni kuwa huyu wa SAUT anaonekana kuwa ni bora zaidi kuliko wenzake; nilipowataka kunipa ufahamu wao kuhusu Water Hammer, Hydraulic Gradient Line, Soil Stabilization, Soil Consolidation na mengine mengi, ni mwanafunzi wa SAUT pekee aliyeweza kuyajibu maswali yangu kwa ufasaha, na wenzake walibaki kunitazama tu. Ushauri wangu: kazini watu hawatazami ulisoma wapi; bali, unafamu nini kitachoinufaisha taasisi uitumikiayo, sasa basi ni vyema mkajirekebisha kimtazamo kabla hali haijawa mbaya zaidi.

Huwezi kuwacompare wanafunzi wakati wapo mwaka wa pili?unajua curriculum zao zipoje?au unataka zifanane kila chuo kuanzia sem1 hadi ya mwisho?na wewe ulisoma chuo gani?au ndio product ya saut?
 
Ni vyema ifike wakati watu mjitambue sasa na kutafakari kwa kina kabla hamjachangia. Ninawasimamia mabwana wadogo watatu wa uhandisi, mmoja ni wa SAUT na wengine ni UDSM wote ni PT2, ukweli ni kuwa huyu wa SAUT anaonekana kuwa ni bora zaidi kuliko wenzake; nilipowataka kunipa ufahamu wao kuhusu Water Hammer, Hydraulic Gradient Line, Soil Stabilization, Soil Consolidation na mengine mengi, ni mwanafunzi wa SAUT pekee aliyeweza kuyajibu maswali yangu kwa ufasaha, na wenzake walibaki kunitazama tu. Ushauri wangu: kazini watu hawatazami ulisoma wapi; bali, unafamu nini kitachoinufaisha taasisi uitumikiayo, sasa basi ni vyema mkajirekebisha kimtazamo kabla hali haijawa mbaya zaidi.

braza umeyumba......we utakuwa kibaraka wa saut......UDSM hata mkiponda ukweli mnaujua.....wahandisi bora
 
Bora useme wewe,maana naona sasa heshima inaanza kushuka,unataka kufananisha utajiri wa said salim bakhressa na muuza lambalamba wake hayo si matusi?,
 
Back
Top Bottom