Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheki kwenye tcu guide book. utapa jibu
Sina tcu guide book ndugu.
Huna kweli? unaonekana hautaweza unachotaka kasomee uyaya
1. Bachelor of Science in Electrical Engineering 2. Civil Engineering Karibu mkuu nyumbani kwetu Malimbe!
Sina tcu guide book ndugu.
Access ya internet kuingia Facebook,instagram, na jamii forum upo nayo but hujui how to access TCU website kupata admission guide book,uhandisi huuwezi wewe maana uhandisi hautaki watu wavivu wa kufikiri kama wewe,yaan mnajua faida ya internet ni kuingia social networks tu,duuh kazi ipo kwa wasomi wetu,na bora uulizie uhandisi huko huko SAUT maana DIT,UDSM,ARDHI hupawezi
Ni vyema ifike wakati watu mjitambue sasa na kutafakari kwa kina kabla hamjachangia. Ninawasimamia mabwana wadogo watatu wa uhandisi, mmoja ni wa SAUT na wengine ni UDSM wote ni PT2, ukweli ni kuwa huyu wa SAUT anaonekana kuwa ni bora zaidi kuliko wenzake; nilipowataka kunipa ufahamu wao kuhusu Water Hammer, Hydraulic Gradient Line, Soil Stabilization, Soil Consolidation na mengine mengi, ni mwanafunzi wa SAUT pekee aliyeweza kuyajibu maswali yangu kwa ufasaha, na wenzake walibaki kunitazama tu. Ushauri wangu: kazini watu hawatazami ulisoma wapi; bali, unafamu nini kitachoinufaisha taasisi uitumikiayo, sasa basi ni vyema mkajirekebisha kimtazamo kabla hali haijawa mbaya zaidi.

braza umeyumba......we utakuwa kibaraka wa saut......UDSM hata mkiponda ukweli mnaujua.....wahandisi bora