Prince Hope
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 2,155
- 445
Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza.
Ilikuwa kama picha ya kihindi.
Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini kupitia wazoefu (wanafunzi wasomao hapo) ikafahamika ni Tshs 210,000.
Hata wakati wa kukabidhiwa fomu za kujaza, ilisomeka hivyo Tshs 210,000. Wakati zoezi linaendelea, akajitokeza mtu na kusema bank zikalipwe laki 3 (300,000) kama utani vile. Mara ikageuka ikawa msisitizo, na hatimae watu walilazimika kulipa ongezeko la elfu tisini (90,000).
Waliotoka mikoani walipata shida sana, ongezeko ni kubwa na pia la gafla. Wapo walioshindwa kulipa........... sijui walilala wapi na mabegi yao!
Kitima Utakubukwa kwani hii inadhiirisha uongozi umeanza kulega lega just siku kadhaa baada ya wewe kumaliza muda wako.
Next time, Saut mjipange!