SAUT-Kwa hili la ongezeko la cost ya accomodation, mmechemsha!

Prince Hope

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Posts
2,155
Reaction score
445
Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza.
Ilikuwa kama picha ya kihindi.

Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini kupitia wazoefu (wanafunzi wasomao hapo) ikafahamika ni Tshs 210,000.

Hata wakati wa kukabidhiwa fomu za kujaza, ilisomeka hivyo Tshs 210,000. Wakati zoezi linaendelea, akajitokeza mtu na kusema bank zikalipwe laki 3 (300,000) kama utani vile. Mara ikageuka ikawa msisitizo, na hatimae watu walilazimika kulipa ongezeko la elfu tisini (90,000).

Waliotoka mikoani walipata shida sana, ongezeko ni kubwa na pia la gafla. Wapo walioshindwa kulipa........... sijui walilala wapi na mabegi yao!

Kitima Utakubukwa kwani hii inadhiirisha uongozi umeanza kulega lega just siku kadhaa baada ya wewe kumaliza muda wako.

Next time, Saut mjipange!
 
Kitima tutakukumbuka ulikua unajali sana SAUT umeifikisha pazuri sana ila sasa wanataka kuharibu mambo
 
Mjiandae kuachia hivyo vyumba muende kwanza JKT Chezea serikali ya kikwete.
 
Is these chuo so serious what is the meaning if raising the adminstration fee like that without anyones notice
Nw wat does these take us will there be ability of people to accomplish there rducation ib degreee program 😱
 
Wamenigombanisha na mzee wangu hawa SAUT coz alifikiria nataka kumla cha juu!
 
poleni ndugu zangu....jitahidi kukabiliana na hilo jambo hii ndo maana ya kuishi katika jamii....msife moyo....songa mbele
 
Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza.
Ilikuwa kama picha ya kihindi.

Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini kupitia wazoefu (wanafunzi wasomao hapo) ikafahamika ni Tshs 210,000.

Hata wakati wa kukabidhiwa fomu za kujaza, ilisomeka hivyo Tshs 210,000. Wakati zoezi linaendelea, akajitokeza mtu na kusema bank zikalipwe laki 3 (300,000) kama utani vile. Mara ikageuka ikawa msisitizo, na hatimae watu walilazimika kulipa ongezeko la elfu tisini (90,000).

Waliotoka mikoani walipata shida sana, ongezeko ni kubwa na pia la gafla. Wapo walioshindwa kulipa........... sijui walilala wapi na mabegi yao!

Kitima Utakubukwa kwani hii inadhiirisha uongozi umeanza kulega lega just siku kadhaa baada ya wewe kumaliza muda wako.

Next time, Saut mjipange!

Naomba majina ya waliotoa amri ya kuongeza hiyo 90 kwanza..halafu tutafuatilia kuhusu hiyo 210 kwa FR.MWANJONDE kujua imetokea wapi.. Usisahau kunipatia majina ya wahusika
 
Is these chuo so serious what is the meaning if raising the adminstration fee like that without anyones notice
Nw wat does these take us will there be ability of people to accomplish there rducation ib degreee program 😱

mtasoma tu
 
vyuo vya kata bwana.

ni cha 5 kwa ubora nchi hii vikitanguliwa na vyuo vya science kama hubert kairuki,sua,muhimbili pa1 na ud,na cha 2 nyuma ya ud kwa vyuo vya kawaida..fuatilia katika tovuti ya shirika la viwango vya elimu ya juu Africa
 
Back
Top Bottom