SAUT-Kwa hili la ongezeko la cost ya accomodation, mmechemsha!

SAUT-Kwa hili la ongezeko la cost ya accomodation, mmechemsha!

Mnaojidanganya 1st yr et mpk boom litoke ndo mripot itakula kwenu shaur yenu,boom haliwez toka mpk ukafanyiwe usajili kuthibtisha km kwel umeripot chuo au vp. Hawawez kukuwekea boom wkt bado hujapokelewa chuo. Ucpuuze utajutia buree!
 
Naomba majina ya waliotoa amri ya kuongeza hiyo 90 kwanza..halafu tutafuatilia kuhusu hiyo 210 kwa FR.MWANJONDE kujua imetokea wapi.. Usisahau kunipatia majina ya wahusika

Zoezi bado linaendelea. Ishu si kupeana majina, funga mguu just now, nenda M 9, waulize wale wanawaagiza hawa watoto kuongeza hiyo 90,000 mamlaka wametoa kwa nani! Huu ni wizi, form imeandikwa 210,000 then instructions za mdomo zinasema laki tatu, hivi mzazi/mlezi anaweza kumwelewa mwanafunzi?
 
dah poleni sana mambo kama hayo hapa saut ni kawaida hata udom mwaka wa 2 wanatakiwa kulipa laki 1 ya matibabu wakati washalipa first year nafanya mawasiliano na rais wa sautso kulikoni ni changamoto 2
 
sawa mkuu, feedback ni muhimu pia.
 
Back
Top Bottom