Mkuu Pitz, basi kitakuwa chuo cha vilaza sana...div 3 zitakuwa nyingi sana,
Chuo cha kata UDOM na kile kilichobaki jina UDSM wapate mkopo SAUT wakose?
Oya kata gani mkuu?
si ndio hata mimi nilikua nashangaa heslb inawapa mikopo ya nin watu waliofeli kama hao na wakati kuna one kali pale udsm,mzumbe na udom hazina mkopo!
Oya kata gani mkuu?
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.
Maskini na vyuo vyao wacha wajisifie, nyie pigeni msuli mkikesha kama bundi then njooni kwenye kampuni za familia zetu tuwaajiri km vibarua. Nawashukuru wazazi wangu tangu msingi hawakunipeleka St Kayumba!
familia yako ingekua ina kampuni,ungehangaika kubanana na sisi pale heslb kugombania huu mkopo wa sandakalawe?
Akili yako inabebeka kwenye kiganja, mimi kuweka hii thread haimanishi napata mkopo. Pili, sio kila anayepokea mkopo ni kabwela km wewe...ni mfumo tu mbovu wa serikali na bodi ya mkopo kushindwa kubaini masikini na tajiri ni yupi. Tutabanana wote humuhumu, kwanza baba yangu analipa kodi kubwa. Eti kwamba wanaostahili pata mkopo ni masikini, hiyo ni danganya toto na ni sera ya kibaguzi.
Chuo cha kata UDOM na kile kilichobaki jina UDSM wapate mkopo SAUT wakose?
ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.
Mkuu Pitz, basi kitakuwa chuo cha vilaza sana...div 3 zitakuwa nyingi sana, NYIE JISIFIENI TUUUU NA HIVYO VYUO VYENU LAKINI HAIMAANISHI UTAPATA KAZI NZURI KUTOKANA NA HICHO CHUO CHAKO ,ZAWADI MACHIBYA KASOMA MASTERS SAUT SASA HIVI ANAKULA BATAA HUKOO UGHAIBUNI[/Q kwa hiyo sisi tukusaidieje?
Maskini na vyuo vyao wacha wajisifie, nyie pigeni msuli mkikesha kama bundi then njooni kwenye kampuni za familia zetu tuwaajiri km vibarua. Nawashukuru wazazi wangu tangu msingi hawakunipeleka St Kayumba!
Sasa kama babako ana kampuni unalia nini kuhusu boom? Ndio maana mkuu Pitz anawadharau div 3 zinawafanya hata ufikiri kuwa tata
we dogo hizi dharau unatoa wapi enh?ok,mie nilijua ni vipanga wa ud,sua,mzumbe na udom ndo mikopo inawahusu!kumbe hata huko kwa waliofel wanakumbukagwa,basi serikali yetu ina fedha za mchezo.