Siku zote naamini,we have fake intellectuals in our nation who never remember where they come from and what they suppose to do | | Je,ninyi wa SAUT,UDSM,UDOM n.k hamkuchaguliwa na TCU kujiunga na vyuo vikuu? Kama ndivyo,kwani TCU ina mfumo na sera tofauti,kiasi cha kuwapeleka vyuo vikuu hata baadhi ya waliofail kwenye baadhi ya Vyuo? | | Pili, bodi ya mikopo inatoa mikopo kwa wanafunzi wenye sifa stahiki,Je kwa akili zenu mnaamini kuna vyuo wanapata mkopo hata kama walifeli,wala siyo priority course? Tatu,nimewasiliana na uongozi SAUT,deadline ya kulipa ada ni 25,oct,2012.Kwa nini mleta maada anakurupuka bila kuhakiki mambo? Nne,Mwaka wa kwanza wamesaini kuanzia tar.3,4 na 5...kutokana na ukweli kwamba wengi hawakuwa na akaunti,kwa nini mleta maada anapotosha ukweli eti wamesaini wiki zima? Mwisho,aina ya usomi walionao vijana wengi ni upofu wa kujiona wanaelewa, hawana critical thinking kitu ambacho kitawafulisha kwenye EAC. |No evidence,no right to talk!