Wa Bagamoyo
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 118
- 12
Ingia kwenye website ya Heslb utakuta namba zao, then jaribu kuwaulizia. Hapa hakuna mpiga ramli ambaye anaweza kukutabiria hilo.
Bwana atawalinda msifadhaike mioyoni mwenu.
me hata ada ya kwanza hawajanilipia bado leo wametoa majina ya wanaodaiwa naona na mimi nipo! Inabidi kesho niende main kwa bursar! Hawa bodi nao wanazinguaaaa tu.
Angalia maneno yako rafiki
Nanuku "Ni bora wananchi kula nyasi lakini ndege ya rais inunulike" mwisho wa kunukuu
Acha kuzingua ww au ndo wale wale msio pata mnabaki kusumbua
Chuo ulifikaje?Mbona hata kuandika kiswahili huwezi.Kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia mkopo,maana ya mkopo ni kwamba wazazi/walezi hawakuandaa akiba kwa ajili ya elimu...walizaa wakijua kuna serikali itabeba mzigo wa kusomesha.