Saut-mwanza jamani boom lini?????

Saut-mwanza jamani boom lini?????

Ingia kwenye website ya Heslb utakuta namba zao, then jaribu kuwaulizia. Hapa hakuna mpiga ramli ambaye anaweza kukutabiria hilo.
 
Acha kuzingua ww au ndo wale wale msio pata mnabaki kusumbua
 
me hata ada ya kwanza hawajanilipia bado leo wametoa majina ya wanaodaiwa naona na mimi nipo! Inabidi kesho niende main kwa bursar! Hawa bodi nao wanazinguaaaa tu.
 
Wenzenu tumeisha pewa cku nying hadi tumeanza kufulia.
 
Maisha ya chuo mabaya kinomaaa bumu miezi miwili kwa miwili khaaaa
 
me hata ada ya kwanza hawajanilipia bado leo wametoa majina ya wanaodaiwa naona na mimi nipo! Inabidi kesho niende main kwa bursar! Hawa bodi nao wanazinguaaaa tu.

Fatilia kaka mana wanazingua hawa jamaa
 
Nanuku "Ni bora wananchi kula nyasi lakini ndege ya rais inunulike" mwisho wa kunukuu
 
Acha kuzingua ww au ndo wale wale msio pata mnabaki kusumbua

Chuo ulifikaje?Mbona hata kuandika kiswahili huwezi.Kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi kushangilia mkopo,maana ya mkopo ni kwamba wazazi/walezi hawakuandaa akiba kwa ajili ya elimu...walizaa wakijua kuna serikali itabeba mzigo wa kusomesha.
 
kiswahili gani ambacho ww hujaelewa?? Na nani hapa anashangilia mkopo? Embu elewa kabla ya kukurupuka then masuala ya wazazi naomba yatoe hapa si kila mtu ana mzazi anaemsomesha.
 
Back
Top Bottom