Saut-Mwanza Semista ya Pili inaanza Kesho

Saut-Mwanza Semista ya Pili inaanza Kesho

Unakuta kozi kama sheria(LL,B) SAUT inachukua mpaka iii.17 jamani huu ni udhalilishaji wa taaluma makini ya sheria kwa sababu kozi ya sheria inahitaji watu wenye ufaulu mzuri ! mbaya zaidi unakuta chuo cha SAUT kozi ya sheria kinachukua mpaka waliopata F&S za kingereza hii ni hatari sana

Ushahidi uko wapi?
 
Hakuna amchekae baba yake hata kama angekuwa vp ,atamsifiya tu. Nawaombeni tuache malumbano .ukweli utabaki kuwa ukweli na uongo vile vile.
 
Binafsi graduates wa saut sion tatizo lao,ila wale wa tumaini ndio vilaza balaa.
 
Chuo hakina ku fail...wala disko

Kudisko kweli hamna..hila hilo la vilaza kufail ni la kufikia tu..ni ka vile system ya CPA hakuna kugradute utarudia /kucarry mpaka uzeeke chuo..ni kawida mno kwa SAUT kusikia darasa la wanafunzi 300 wamegraduate 200 while 100 wamebakizwa
 
Back
Top Bottom