MkuuKERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA
Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.
Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.
Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.
Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.
Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.
Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.
Mkuu
Upo sweya au nganza.
Nadhani kabla ya kufanya udahili, TCU walitembelea vyuo kukagua miundombinu husika itakayotumiwa na wanafunzi na pia kufanya sensa ya wahadhiri kuhakiki kama wanatosha kwa kila kozi. Sasa imekuwaje tena kuna mapungufu? Itapendeza kama utawasiliana na TCU moja kwa moja ili watoe majibu ya kuridhisha mkuu Jordan_5
Nenda MUM ukasome, ukapate elimu borqKERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA
Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.
Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.
Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.
Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.
Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.
Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.
Walishaonywa kitambo. Kwani hawataki kusikia?👇KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA

Yaani wanafunzi 850 wanagawanywa kwenye srltream 2 za wanafunzi 450! Hiki ni chuo kikuu au ni shule ya kata?KERO: HALI YA MIUNDOMBINU YA MASOMO KATIKA CHUO KIKUU CHA ST. AUGUSTINE (SAUT), MAIN CAMPUS MWANZA
Ninaomba kuwasilisha kero inayotukabili wanafunzi wa degree katika Chuo Kikuu cha St. Augustine cha Tanzania (SAUT), Main Campus, Mwanza.
Changamoto kubwa ni kuongezeka kwa idadi ya wanafunzi na kozi zinazotolewa na chuo bila kuonekana kwa ongezeko linalolingana la miundombinu ya kujifunzia, hasa madarasa.
Kwa mfano, kwa upande wa kozi ya Sheria (LLB), mwaka wa tatu pekee tupo zaidi ya wanafunzi 850. Hapo mwanzo wanafunzi tulikua tukigawanywa katika madarasa mawili yaani Stream A na Stream B. Lakini kwa sasa tunasomea katika darasa moja ambalo kwa uhalisia halitoshelezi idadi ya wanafunzi waliopo.
Hali hii inasababisha wanafunzi tunakaa kwa kubanana, joto kuwa jingi na mazingira ya kujifunzia kutokuwa rafiki. Inakuwa vigumu kwa wanafunzi wote kupata nafasi nzuri ya kukaa na kufuatilia masomo kwa ufanisi.
Kinachotia wasiwasi zaidi ni kwamba hali hii inaendelea huku tukihisi kuwa hatua za kutosha hazijachukuliwa na uongozi wa chuo kutatua changamoto hiyo.
Lengo langu si kuishambulia taasisi, bali kuibua changamoto hii ili ipatiwe ufumbuzi. naamini kuwa kuongeza udahili na programu za masomo kunapaswa kwenda sambamba na maandalizi ya miundombinu inayokidhi mahitaji ya wanafunzi.
Tunaiomba JamiiForums itusaidie kuifikisha kero hii kwa wahusika ili uongozi wa SAUT uweze kutoa ufafanuzi na kuchukua hatua zinazofaa, ikiwemo kuboresha madarasa au kurejesha mfumo wa kugawa wanafunzi katika streams kulingana na uwezo wa miundombinu.
Haifai hata kidogo. Tunaomba JamiiForums iwasiliane na TCU kufahamu kama ni utaratibu au ni uhuni tu unaofanywa na uongozi wa chuo kwa manufaa yao binafsi.kwakweli maana unatoa ada 1.5milion alafu unakuja kukaa chini na hiki ni chuo kikuuu
Malalamiko yako yana mashiko. Ingawa kwa upande wangu nilitamani kuona wawakilishi wenu wa madarasa (CR's) wanayafikisha haya malalamiko kwenye serikali yenu ya wanafunzi na pia uongozi wa chuo ili kupatiwa majibu sahihi, badala ya kuja kulalamikia humu JamiiForums.kwakweli maana unatoa ada 1.5milion alafu unakuja kukaa chini na hiki ni chuo kikuuu
Sawa mkuunipo masha mkuu
Malalamiko yako yana mashiko. Ingawa kwa upande wangu nilitamani kuona wawakilishi wenu wa madarasa (CR's) wanayafikisha haya malalamiko kwenye serikali yenu ya wanafunzi na pia uongozi wa chuo ili kupatiwa majibu sahihi, badala ya kuja kulalamikia humu JamiiForums.
Halafu mambo mengine mnatakiwa kuvumilia pale inapowezekana. Mimi niliwahi kusoma Udsm miaka hiyo! Changamoto za vyumba vya kusomea zilikuwepo! Ukienda kwenye hostel hali ndiyo ilikuwa tete kweli kweli. Pale Mabibo hostel tulibebana mwanzo mwisho Block D na E.