SAUT Mwanza yasimamisha wanafunzi 8!

SAUT Mwanza yasimamisha wanafunzi 8!

Mangungu

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
2,403
Reaction score
3,055
Chuo Kikuu cha Mt Augustine (SAUT)mwanza, kimewasimamisha masoma kwa 2013/2014 wanafunzi nane wa idara mbalimbali!!
Wamesimamishwa kwa sababu walikamatwa wanadesa,wanamizola au wanatumia an authorised material kwenye paper za semister iliyopita!
Poleni wadau jipangeni mwakani.
 
Chuo Kikuu cha Mt Augustine (Saut)mwanza, kimewasimamisha masoma kwa 2013/2014 wanafunzi nane wa idara mbalimbali!!
Wamesimamishwa kwa sababu walikamatwa wanadesa,wanamizola au wanatumia an authorised material kwenye paper za semister iliyopita!!!!
Polen wadau jipangeni mwakani

tuwape pole sana. nawajifunze wasiwe wanaingia na madesa kipindi wakirudisha kuja kuendelea
 
ni wanasimamishwa au ni wamekosa chuo? Mi kuna jamaa alinambia amekosa chuo kabisa.
 
Chuo Kikuu cha Mt Augustine (Saut)mwanza, kimewasimamisha masoma kwa 2013/2014 wanafunzi nane wa idara mbalimbali!!
Wamesimamishwa kwa sababu walikamatwa wanadesa,wanamizola au wanatumia an authorised material kwenye paper za semister iliyopita!!!!
Polen wadau jipangeni mwakani

Chuo cha Saut si kina vitisho vya kuwasimamisha masomo watu kwa zaidi ya mwaka mmoja? Unamaanisha nini kusema wajipange mwakani?
 
Yani SAUT wanasema tukikusimamisha masomo huendi popote hadi miaka mitatu ipite. Nkauliza unavyosema wajipange mwakani una maana gani?
 
Unajua kuna discontinue na disqualified!! Discontinue unarudia mwaka!! But disqualified ndo inakubidi ukae kitaa miaka mitatu,zen kaombe chuo chochote tena kwa tz! But kama mshua yuko njema waweza soma nje!! So hawa jamaa wame discontinue!!!
 
Nikajua ni wahuni wakisabato....

cc: ntuzu

But miaka ya 2007 hv, wasabato walishakumbana na kibano cha warumi!! Iliwabidi warudi kufanya paper next academic year
 
Unanichokoza nikianza kuushambulia uroma wako unaanza kulalama!

Unajua maana ya kulalama...? Hakuna mahali mm nimelalama....Sisi tunafukuza wahuni wakisabato nyinyi wahuni wao ndio mnalalama eti twawanyanyasa......

Hakika katika hao waliofukuzwa tukichunguza hatutakosa mihuni ya kisabato....Mwaka 2007 tuliwachakaza mkakoma...Leo SAUT wasabato wanafanya mitihani hadi jumamosi

Pathetic fool of all time..
 
Unajua maana ya kulalama...? Hakuna mahali mm nimelalama....Sisi tunafukuza wahuni wakisabato nyinyi wahuni wao ndio mnalalama eti twawanyanyasa......

Pathetic fool of all time..

Tedo Rafiki yng Jaribu basi kua mstaarabu ata Kidogo! Upunguze hizo lugha zako mbaya!

Si kwamba mtu anashindwa kukujibu huo ujinga wako Bali ni kwamba mtu akifanya hivyo wote tutaonekana wajinga!

Kua na hekima ata Kidogo!
 
Unajua maana ya kulalama...? Hakuna mahali mm nimelalama....Sisi tunafukuza wahuni wakisabato nyinyi wahuni wao ndio mnalalama eti twawanyanyasa......

Hakika katika hao waliofukuzwa tukichunguza hatutakosa mihuni ya kisabato....Mwaka 2007 tuliwachakaza mkakoma...Leo SAUT wasabato wanafanya mitihani hadi jumamosi

Pathetic fool of all time..

Acha kumtukana mwenzako, ni uji***nga uliopitiliza kumtukana Mkristo mwenzako kisa madhehebu yenu ni tofauti. Mbona Yesu mnayemwamini ni huyo huyo mmoja?
 
Acha kumtukana mwenzako, ni uji***nga uliopitiliza kumtukana Mkristo mwenzako kisa madhehebu yenu ni tofauti. Mbona Yesu mnayemwamini ni huyo huyo mmoja?

Mkuu nashukuru kwa kumpa ushauri Huyu ndugu yng tedo ktk bwana! Lkn ana haki ya kufanya hivyo kutoka na ile roho Yake haitaki ukweli!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom