L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Oct 16, 2013 #1 SAUT ni ya kwanza kufungua lakini ya mwisho kuwapa wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa zao za BOOM.Lini hasa tutapewa?
SAUT ni ya kwanza kufungua lakini ya mwisho kuwapa wanafunzi wa mwaka wa kwanza pesa zao za BOOM.Lini hasa tutapewa?
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 619 Oct 16, 2013 #2 Wa kwanza atakua wa mwisho
L LOMP JF-Expert Member Joined Sep 12, 2013 Posts 215 Reaction score 21 Oct 16, 2013 Thread starter #3 Yawezakana wanafanyia biasharara kwanza ndipo wagawe
M Malengo Jr JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 287 Reaction score 99 Oct 21, 2013 #4 Jipe moyo kaka naona hapa ni survival for the fittest ipo cku watatoa, wasipotaka ku2pa kwa hiari 2tawalazimisha watupe kisheria.
Jipe moyo kaka naona hapa ni survival for the fittest ipo cku watatoa, wasipotaka ku2pa kwa hiari 2tawalazimisha watupe kisheria.
N Ndala ndefu JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 237 Reaction score 42 Oct 21, 2013 #5 Hiyo ndio Saut na Warumi wao, uliza cc tuliopita hapo.