Nenda kasome Morogoro kwenye kile chuo kilikuwa cha Tanesco Mkapa akawapa Waislamu pale hawalipi ada
matatizo makubwa yapi? Acha kukuza mambo wewe. Mbona hao wengine kati ya hayo majina mia 2 unayoyasema wamepewa ID? Huyo rafiki yako kukosa id anamatatizo yake mwenyewe. Na kama shida yake haitatuliki haraka kuambiwa aandike barua ya special ni shida? Hayo ni mambo madogo ambayo yapo kwenye kila taasisi yenye watu wengi.
Mleta mada,SAUT ni kati ya vyuo vya private ambavyo bado ada iko chini,kujiunga hapo maana yake unakubaliana nao,uzuri umesema kuna special exam,hivyo mjipange ili mfanye hiyo september.
Fee structure ya UDSM:
Source : http://www.udsm.ac.tz/sites/default...c_for_degree_advert_for_equivalents_11_12.pdf p. 10 -11
- Pamoja na structure hii ya fee ya UDSM, chuo hakihusiki na kulipa mishahara, na bado kuna fedha zinapelekwa chuoni kwa ajili ya OC. SAUT inategemea ada tu kulipa mishahara na gharama zote za uendeshaji.
- Gharama za ukarabati na ujenzi kwa vyuo vya serikali hazitegemei hiyo ada wakati vyuo binafsi (ikiwemo SAUT) vinatumia hizo hizo kwa ukarabati.
- Vyuo binafsi ni lazima vihakikishe vinaweza kujiendesha kutokana na ada zake, hakuna anayetoa fedha za ziada kwa ajili ya kusaidia kuendesha chuo.
- Wasipowabana wakati wa mitihani fedha hazilipwi
- Kwa watu wenye shida za dhati, kuna mpango wa kusaidiwa kama kuna vithibitisho (Mwone DVCAF, wakati unajiunga na chuo)
- SAUT ada yake iko chini hata ya hivyo vya serikali kwa programmes nyingi. Hakuna chuo kingine cha binafsi chenye ada za chini kama SAUT.
Angalia hapa mfano wa ada za Tumaini University
Source: http://www.tumaini.ac.tz/docs/joining.pdf
Ulitegemea waite watu waende kusoma bure ndio ujue kuwa wanamkomboa mtoto wa maskini?
If you think education is expensive try ignorance.
1. 60% ya bajeti ya SAUT inaenda kwenye mishahara, wakati vyuo vya serikali vina tuition fee kama hizo na mishahara inalipwa na serikali moja kwa moja.mkuu unapotosha,SAUT ni moja ya vyuo vinavyomilikiwa na kanisa katoliki vinavyopata ufadhili wa kuosha kutoka nje ya nchi hasa kwenye taasisi za dini za nje,kutoka Canada,UK,USA na Ufaransa kuzitaja kwa uchache ndo mana unaona kuna cozi zinafundishwa pale vyuo vingine havizifundishi mfano Kifaransa,pia ujenzi wa majengo yanajengwa kwa misaada ya nje mfano library ya Mgulunde,Mwanjonde,jengo jipya la utawala na hosteli zinazojengwa kuvitaja kwa uchache,bt SAUT kama chuo ambacho kinamilikiwa na kanisa hakipaswi kukataa kupokea sababu ZOZOTE,hii sio nzuri watu hatulingani uwezo.
mkuu unapotosha,SAUT ni moja ya vyuo vinavyomilikiwa na kanisa katoliki vinavyopata ufadhili wa kuosha kutoka nje ya nchi hasa kwenye taasisi za dini za nje,kutoka Canada,UK,USA na Ufaransa kuzitaja kwa uchache ndo mana unaona kuna cozi zinafundishwa pale vyuo vingine havizifundishi mfano Kifaransa,pia ujenzi wa majengo yanajengwa kwa misaada ya nje mfano library ya Mgulunde,Mwanjonde,jengo jipya la utawala na hosteli zinazojengwa kuvitaja kwa uchache,bt SAUT kama chuo ambacho kinamilikiwa na kanisa hakipaswi kukataa kupokea sababu ZOZOTE,hii sio nzuri watu hatulingani uwezo.
Mtoa maada we mwaka wa ngapi SAUT, binafsi nimesoma SAUT tatizo kuna uelewa mdogo juu ya neno "kumsaidia mtoto wa maskini" hawajasema bure.
Pili hiyo ada yenyewe uliyoisema imepanda mwaka huu, miaka ya nyuma ilikuwa laki 9 na nusu tu, sasa kama wewe Bodi hawajakuletea ada utamlalalmikiaje mwanjonde? Na pia si kweli kwamba wote hawapewi vitambulisho, mtu anatakiwa aende yeye binafsi kwa DVFA, unajieleza kulingana na sababu zako unapewa kitambulisho, SAUT hawataki hata siku moja kuwahukumu watu kwa ujumla wao, unatakiwa ujieleze wewe kama wewe.
Pia hujafanya utafiti wa ada za vyuo nchi hii ukifanya utakubali kuwa SAUT is the cheapest university in Tz, halafu hata kama huna uwezo watu wanakwenda kwa dean wanajieleza na kujaza form kulingana na vigezo vyao unlipiwa ada, na sio mkopo! Ni wapi Tanzania wanafanya mi sijui, ila ninamifano ya watu wamesoma kwa kulipiwa bure SAUT
Mimi niko SAUT pia, nina mkopo na nyumbani kwetu pia hawana uwezo kama ambavyo wewe unavyojieleza. Lakini kwa fedha hiyo hiyo ya mkopo, nimelipa chumba, nimelipa ada yote ya muhula wa kwanza, na ninakula vizuri tu na nitafanya mitihani.Kwa taaria tu chuo kimekataa kupokea sababu yoyote ile mpaka leo tarehe 26,suala la kufanya research ya ada ti}vyuo vingne sio dili sana bt ukweli ni huo SUT ya leo si ya miaka yako,siku hizi hakuna kufanya mtihani bila kulipa ada yote ya muhula,hata ule utaratibu wa kuwaruhusu wanafunzi wadiwa kufanya mtihani kisha wayazuie matokeo yake haupo na kinachoumiza zaid ni faini(pena)ya shilingi laki moja ukichelewa kulipa ada,
Mimi niko SAUT pia, nina mkopo na nyumbani kwetu pia hawana uwezo kama ambavyo wewe unavyojieleza. Lakini kwa fedha hiyo hiyo ya mkopo, nimelipa chumba, nimelipa ada yote ya muhula wa kwanza, na ninakula vizuri tu na nitafanya mitihani.
Tatizo la wengi wanaopata mkopo ni Personal Financial Management ni mbaya.
SAUT ninayoijua ni SAUT ya leo, na sioni tatizo na hayo mambo. Suala la ulipaji wa ada wanapaswa kukazia hivyo hivyo, vinginevyo watashindwa kulipa walimu, watashindwa kulipa umeme, na baadaye wewe huyo huyo utarudi hapa na kufurahia hali hiyo.
Uongozi wa SAUT uko sawa kubana watu walipe, wenye matatizo inabaki ni "exceptional cases" ambazo zinapaswa kuwa handled in an exceptional way. Na wengi waliopeleka hizo "exceptional cases" wamefanyiwa exception na kupewa kadi za kufanya mtihani.
Inawezekana kweli una shida, lakini naona mada hii umeileta ukiwa na lako jambo. Kichwa chako cha habari kinaweka wazi kuwa una kampeni ya majitaka dhidi ya SAUT, vyuo na shule za kanisa!
I am proud to be a SAUT student.
Mkuu wewe unasoma kozi gani?
LLB3 mkuu na wewe?
BBA 3 (Accounting and Finance)LLB3 mkuu na wewe?
wanywaji wa pombe na wapenda starehe utawajua tu! Chuo kikiruhusu taratibu unazotaka wewe itafika hatua lecturers watakosa mishahara. Hela ya bodi mnayopewa kwa meals siku hizi kama we unajijua maskini unalipa ada kabisa! Unataka kuniambia una asilimia sifuri ya mkopo? Acheni kuwa na management ovyo ya boom ili mlipe ada. Hata kama boom limechelewa- unashindwa kukopa?
nimesoma saut sijawah kukutana na ulichokiandika,nijuavyo mimi hadi kufikia muda wa kufanya mitihani ya semesta ya kwanza unatakiwa uwe ushalipa nusu ya ada au angalau uwe umelipa laki 5,6 au 7,unafanya mtihani bila shida na unapata matokeo.
Kaka unataka usome bure halafu upate elimu gani? Au walimu wawe wanajitolea tu?
Mtoa maada we mwaka wa ngapi SAUT, binafsi nimesoma SAUT tatizo kuna uelewa mdogo juu ya neno "kumsaidia mtoto wa maskini" hawajasema bure.
Pili hiyo ada yenyewe uliyoisema imepanda mwaka huu, miaka ya nyuma ilikuwa laki 9 na nusu tu, sasa kama wewe Bodi hawajakuletea ada utamlalalmikiaje mwanjonde? Na pia si kweli kwamba wote hawapewi vitambulisho, mtu anatakiwa aende yeye binafsi kwa DVFA, unajieleza kulingana na sababu zako unapewa kitambulisho, SAUT hawataki hata siku moja kuwahukumu watu kwa ujumla wao, unatakiwa ujieleze wewe kama wewe.
Pia hujafanya utafiti wa ada za vyuo nchi hii ukifanya utakubali kuwa SAUT is the cheapest university in Tz, halafu hata kama huna uwezo watu wanakwenda kwa dean wanajieleza na kujaza form kulingana na vigezo vyao unlipiwa ada, na sio mkopo! Ni wapi Tanzania wanafanya mi sijui, ila ninamifano ya watu wamesoma kwa kulipiwa bure SAUT
Kwahiyokikubali sababu yoyote ya mwanafunzi ambaye hajamaliza au hajalipa ada?
Hii tafsiri yako ya kusaidia maskiinaona ina maana ya pekee kabisa.
Watanzania hawapendi kufuata utaratibu, bila kuwabana wanakuwa na sababu milioi kidogo.
Hata wazazi bila kuwabana hawalipii watoo wao ada....huo ndio ukweli mchungu.
Hayo mambo ya misaada wanayopata uliambiwa inatolewa ili ikulipie ada?
Kama livrary imejengwa kwa msaada kwahiyo wewe usilipe ada?
What kind of thinking is that!
Mkuu kama unapata boom, usilaumu mtu ni kushindwa kwako kupanga vizuri.hakuna palipo andikwa kuwa mpaka umalize ada yote ya mwaka,isipokuwa ada ya nusu muhula ambayo ni laki 7 na 35,kwa watoto wa wakulima wengi tuinashindwa kuilipa kwa wakati since boom ndo linatulisha,kupangisha vyumba na kutusomesha,wanaposema hakuna excuse wanatuonea.