SAUT na Vyuo vingine, Shule za kanisa havina malengo ya kweli kumkomboa mtoto wa maskini wa TZ.

wanywaji wa pombe na wapenda starehe utawajua tu! Chuo kikiruhusu taratibu unazotaka wewe itafika hatua lecturers watakosa mishahara. Hela ya bodi mnayopewa kwa meals siku hizi kama we unajijua maskini unalipa ada kabisa! Unataka kuniambia una asilimia sifuri ya mkopo? Acheni kuwa na management ovyo ya boom ili mlipe ada. Hata kama boom limechelewa- unashindwa kukopa?

Hizohzo pombe ndo zinakusomesha wewe,au hujui kwamba taifa letu linaendesha kutokana na pombe?ACHA DHARAU,me pombe we wanaweke think twice

  • :smile:
 
Nimemaliza Saut mwaka jana,Malimbe-Mwanza.
Katika vitu vinavyoniuma hadi leo sisahau ni kilipishwa fine ya laki moja on top of ada ninayodaiwa,kisa kuchelewa kulipa ada. Unaweza kujiuliza, sasa kama ada sina,hiyo laki moja ya ziada nitatoa wapi?
Nilikua loan beneficiary,sina support nyingine yoyote,nagawanya boom kwenye chakula,accomodation,ada nk. Kiukweli kabisa, huwezi kulipa vyote hivyo kwa semester na ukaweza kuishi vizuri bila kutetereka so ilibidi kudelay kidogo kujipanga. Nilimweleza Mwanjonde hivo, na barua niliandika kama walivosema lakini wapi. Mwanjonde alinisomea tu quote from a document, 'our culture should be no fees no school'. Nilimwambia nia sio kusoma bure, nia yangu ni kulipa lakini wanipe muda na waniruhusu for the mean time kufanya mitihani. Nililipa laki moja hiyo alimradi nimalize chuo, or else my 4 years would all have been wasted like that.
Kilichofuata ilikuwa ni how to survive the year,i look back today and call it, my great depression.

Lakini haikuwa ajabu sana hasa kwa finalist. All my four years as a loan beneficiary i was made to put up with boom and tuition fees delays from board,had to beg chuo to let me seat for exams first and would pay later. Sometimes they did let me,sometimes they didn't so i borrowed elsewhere with stringest conditions such as interest rates that sees you broke paying the debts the moment boom comes. In the former case, i still had to make futile routes from office to office,they threw each other the balls, dvcaf,faculty,vc,bursar etc everone not wanting to be 'the disgraced guy who let them did exams without paying'.

The hustles were so much to put up with, not to mention that i also lived from hand to mouth.

But what's the moral do you learn out of all this? I observed saut is an institution with great financial discipline. You either conform or learn the hard way, which is, lord knows i hate to admit-commedable sort of.

But the church has got to find a way to hep the needy, instead of taking advantage of their desperation.
What good does it do you, lors's servant, dear rev kitima, to often and always speak so passionately about helping the poor, and vehemently blast the government when things aren't in order at home?people in glass houses should know better not to throw stones. Doesn't make you any better.

Wanafunzi, for all it's worth, saut is still a far better place to be than the rest uni's across the country,trust me now, i knw better now.
Hapa ngoja niseme kiswahili ili inoge na ilete raha nlokusudia. Tujifunze kukabiliana na changamoto kadri zinavyokuja. Na tuwe na nidhamu ya pesa hata ndogo tupatayo pale tunapoipata haijalishi wapi imetokea bodi au kwingine.
Serikali pia ifikirie upya commitment yake kusaidia watoto wa kitanzania. Kiukweli wanateseka,wamekata tamaa na wengine wanaacha chuo na ndoto zao zinakomea hapo. Ushahidi ninao pale saut na inatia uchungu sana kuna baadhi ya watu ukijua story zao unaweza kulia.
 
SAUT kumilikiwa na kanisa kisiwe kisingizio cha watu kutolipa fee kwa wakati muafaka. Mtoa maada una ushabiki flani wa kidini bila shaka. Linganisha karo itolewayo hapo SAUT na itolewayo chuo cha Tumaini ambacho knamilikiwa na taasisi ya dini uone kipi kinamjali masikini! Mimi nimesoma katika moja ya matawi ya chuo cha SAUT kuna watu walikuwa wanaruhusiwa kufanya mitihani bila kukamilisha malipo cha ajabu mpaka siku ya graduation watu 42 kati yetu wahitimu walikuwa hawajakamilisha malipo hayo. Kwa hiyo kuna wakati wanalazimika kuwabana nyakati hizo za mitihani ili wanafunzi wakumbuke kuwa kuna kulipa karo ya masomo ili taasisi iweze kujiendesha. Ifikie wakati tujue maana ya kusaidia masikini-sio wasome bure kitu ambacho hakifanyiki na hakitafanyika hata katika taasisi za umma/serikali. SAUT ni kati ya vyuo vinavyomjali mtanzania wa hali ya kawaida tena sana. Ni chuo gani cha serikali utasoma sheria kwa fee ya Tshs950,000/ 1,232,000 (kwa sasa)? Hata shule za msingi za binafsi hawalipi kiasi hicho!
Kwa hiyo yatubidi tuache ushabiki na chuki binafsi kupotosha ukweli.
We kama umeshindwa kulipa karo kwa wakati ni juu yako, jiandae kufanya special exams kaka/dada kama huna sababu ya msingi utakayomweleza Mwanjonde akakupa exam card.
 
wewe Kitima nini?mbona unatokwa povu la hasira kuitetea SAUT?me ada nalipiwana bodi elfu 85 kwa mwaka japo boom napata,so gawa milioni 2 za awamu 4 za boom toa ada milioni 1 laki 2 na 35,toa he;la ya chumba shilingi laki3,stationary na hela ya chakula,kwa mwaka mzma na huna supotin yoyote kutoka kwa mtu yoyote zaidi ya Bodi,lazima ushindwe kulipa ada yote kwa wakati.tumia kichwa kufikiri na c kufugia nywele mkuu

  • A%20S%20angry.gif

Usiwe mwepesi wa kulalamika dogo, tafuta suluhisho la tatizo. We mwanachuo bwana usiwe kama layman anayejadili matukio badala ya kutafuta suluhu la matatizo. Uliposign form ya kujiunga ilimaanisha umekubaliana na taratibu za SAUT. Kwa hyo we unataka Kitime akulipie hiyo fees! Hata ukipewa kadi ya mtihani leo bado hujamaliza tatizo ila umeahirisha tatizo ambalo litakugharimu tena baadaye.
 
Nadhani mleta mada amechanganya kitu labda kwa Stress za maisha na mitihani.Kuhusu gharama ni ndogo sana kwa kulinganisha na vyuo vingine.Na anachokisema kuwa Chuo kinadai hadi 500tsh ni kwasababu hata wewe unajua mwanafunzi hawezi kushindwa kulipa deni la 500tsh au hata 50,000tsh. Na kusema Chuo hakina huruma ni uongo, kwani hadi sasa wanafunzi wenye madeni wameruhusiwa kufanya mtihani kutokana na ushirikiano mzuri wa wanachuo hao,wizara ya mikopo na Rais (SAUTSO) Pamoja na uongozi wa chuo chini ya VC...Fr.Dr.Charles Kitima.Kuna wanafunzi hawajalipa hata 100,000tsh kati ya ada yote lakini wanapewa vibali vya mitihani. TATIZO NI NINI? 1.Bodi ya mikopo: Bodi imegeuka pango la walanguzi na inabidi ichunguzwe na serikali,hela zilitoka hazina tangu september, lakini zimekaliwa HESLB wakisingizia Loan Allocation and Repayment Committe (LARC) haijakaa kuidhinisha malipo bila kusema itakaa lini hali wanachuo karibia 290 hawajalipwa tangu Octoba,2012.Serikali haina chombo cha kuchunguza?
 
Wote hapo juu mnaweza kuwa logic lakini wote hamjui historia au ni wanafiki,wanadiplosia feki,wote hamjui kwamba huwezi kutenganisha kanisa katoliki na utumwa,upebari na ukoloni mamboleo,ndio mana kuna kitabu cha kanisa katoliki cha kanisa katoliki na siasa za tanzania bara,wameandiaka adui wa kanisa ni Ujamaa na uislamu kwa logic kwamba ujamaa na uislamu unasimamia haki,unapinga unyonyaji-someni historia acheni magumashi.historia ni sawa na boya unaweza kulididimiza ila ukiliachia tu linaibuka.maskini wa akili wanajifanya wasomi kumbe madness,stupid.POLENI NYIE AMBAO MNASOMA vyuo vya kanisa.
 
Acha kukurupuka na kuandika kwa kutumia ------. Humu tunaelimishana sio kutukanana. Msomi kawaida anabishana kwa logic sio matusi ndo nyie mnaochoma makanisa mkifikiri ndo suluhisho la kuukataa muungano. You can think the person you call him/her stupid while the word stupid you utter shows how stupid you are..
 
Mtoa maada we mwaka wa ngapi SAUT, binafsi nimesoma SAUT tatizo kuna uelewa mdogo juu ya neno "kumsaidia mtoto wa maskini" hawajasema bure.

Pili hiyo ada yenyewe uliyoisema imepanda mwaka huu, miaka ya nyuma ilikuwa laki 9 na nusu tu, sasa kama wewe Bodi hawajakuletea ada utamlalalmikiaje mwanjonde? Na pia si kweli kwamba wote hawapewi vitambulisho, mtu anatakiwa aende yeye binafsi kwa DVFA, unajieleza kulingana na sababu zako unapewa kitambulisho, SAUT hawataki hata siku moja kuwahukumu watu kwa ujumla wao, unatakiwa ujieleze wewe kama wewe.

Pia hujafanya utafiti wa ada za vyuo nchi hii ukifanya utakubali kuwa SAUT is the cheapest university in Tz, halafu hata kama huna uwezo watu wanakwenda kwa dean wanajieleza na kujaza form kulingana na vigezo vyao unlipiwa ada, na sio mkopo! Ni wapi Tanzania wanafanya mi sijui, ila ninamifano ya watu wamesoma kwa kulipiwa bure SAUT

makofi kwako tafadhali kama huyo boya anasema Saut ada yake ni kubwa na TUMAINI wasemeje?? Mbulula wewe SAUT na UDSM wapi wana ada kubwa kenge wa madoa doa huyo
 
SAUT kumilikiwa na kanisa kisiwe kisingizio cha watu kutolipa fee kwa wakati muafaka. Mtoa maada una ushabiki flani wa kidini bila shaka. Linganisha karo itolewayo hapo SAUT na itolewayo chuo cha Tumaini ambacho knamilikiwa na taasisi ya dini uone kipi kinamjali masikini! Mimi nimesoma katika moja ya matawi ya chuo cha SAUT kuna watu walikuwa wanaruhusiwa kufanya mitihani bila kukamilisha malipo cha ajabu mpaka siku ya graduation watu 42 kati yetu wahitimu walikuwa hawajakamilisha malipo hayo. Kwa hiyo kuna wakati wanalazimika kuwabana nyakati hizo za mitihani ili wanafunzi wakumbuke kuwa kuna kulipa karo ya masomo ili taasisi iweze kujiendesha. Ifikie wakati tujue maana ya kusaidia masikini-sio wasome bure kitu ambacho hakifanyiki na hakitafanyika hata katika taasisi za umma/serikali. SAUT ni kati ya vyuo vinavyomjali mtanzania wa hali ya kawaida tena sana. Ni chuo gani cha serikali utasoma sheria kwa fee ya Tshs950,000/ 1,232,000 (kwa sasa)? Hata shule za msingi za binafsi hawalipi kiasi hicho!
Kwa hiyo yatubidi tuache ushabiki na chuki binafsi kupotosha ukweli.
We kama umeshindwa kulipa karo kwa wakati ni juu yako, jiandae kufanya special exams kaka/dada kama huna sababu ya msingi utakayomweleza Mwanjonde akakupa exam card.

tatizo huyu jamaa analeta udin kwenye mioyo ya watu kama ameona Saut ada ni kubwa aende kwenye kile chuo chao pale morogoro atasoma bure!
 
polen wana-saut hususan wenye kipato cha chini kwani yawezekana hiyo special examz ikawa ni KOMESHA TOTO ila msikate tamaa kazeni kama mlivyokaza ktk shule za kata na shule zingine.
 
kaka pole sana kaka umezuiriwa kufanya mtihani usikate tamaa jaribu mwezi wa 9 ukizingatia kama uko mwaka wa pili au wa kwanza sio mbaya sana
 
Ni kwa mda mrefu sasa shule,vyuo na taasisi nyingine zinazotoa huduma kwa jamii huku zikimilikiwa na makanisa hasa kanisa katoliki yamekuwa yakijidadavua kuwa na malengo ya kuwasaidia watoto na watu wasiojiweza kupata huduma wanazozitoa kwa gharama nafuu,lakini kinyume chake zimekuwa hazina tofauti na shule na vyuo vingine vinavyomilikiwa na taasisisi na watu binafsi wenye malengo ya kupata faida tu,kwa mfano kwa sasa wanafunzi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino(SAUT)Wapo kwenye maandalizi ya mitihani ya kumaliza mhula(semister)ili ufanye mtihani ni lazima uwe na kadi ya mtihani,na ili upewe kadi hiyo haupaswi kuwa unadaiwa hata shilingi 500 kati ya ada ya shilingi (MILIONI MOJA,LAKIMBILI NA ELFU 32)tabu inakujakwa wale wanafunzi wanaotokea familia za kawaida,maskini na wasio na uwezo wa kuwasomesha na kugharamia gharama zingine kwa mwanafunzi,hivyo kupelekea mwanachuo kujisomesha na kuendesha maisha yake kwa kutegemea mkopo kutoka bodi ili alipe Ada,stationary nyumba na chakula,hivyo uwezekano wa kulipa ada yote bila kuacha madeni haupo,hivyo kuwanyima vibali vya kuketi chumba cha mtihani ni kuwaonea na kuwanyima haki ya msingi ya kupata elimu,kuwaambia kama haujamaliza ada wasubiri mwezi wa 9 kufanya mitihani maalumu (special)ni kwenda kinyume na lengo la kanisa kuwasaidia watoto wa maskini,hii ndo inapelekea watoto wa kike kujiuza na kupata maradhi,kama haitoshi akichelewa kulipa anapigwa faini(penati) ya shilingi laki 1,wakati huohuo chuo kinatambua kwa jinsi gani bodi ya mikopo hawaleti fedha kwa wakati hivyo kupelekea wanachuo kuishi kwa kukopakopa,wito Kama askofu mkuu Pengo alivyosema taasisi za dini zikumbuke lengo kuu la kanisa kufungua vyuo,shule na hospitali na kuwasaidia wananchi na si ufanya biashara.

mkuu hata kanisani wanakwambia TOA Ndugu TOA NDugu ulichonacho wewe. So ni mambo ya kawaida sana
 
Msaada si lazima upewe bure, hata kupunguziwa nao ni msaada... We utakuwa una ajenda yako binafsi
 
Nimemaliza Saut mwaka jana,Malimbe-Mwanza.
Katika vitu vinavyoniuma hadi leo sisahau ni kilipishwa fine ya laki moja on top of ada ninayodaiwa,kisa kuchelewa kulipa ada. Unaweza kujiuliza, sasa kama ada sina,hiyo laki moja ya ziada nitatoa wapi?
Nilikua loan beneficiary,sina support nyingine yoyote,nagawanya boom kwenye chakula,accomodation,ada nk. Kiukweli kabisa, huwezi kulipa vyote hivyo kwa semester na ukaweza kuishi vizuri bila kutetereka so ilibidi kudelay kidogo kujipanga. Nilimweleza Mwanjonde hivo, na barua niliandika kama walivosema lakini wapi. Mwanjonde alinisomea tu quote from a document, 'our culture should be no fees no school'. Nilimwambia nia sio kusoma bure, nia yangu ni kulipa lakini wanipe muda na waniruhusu for the mean time kufanya mitihani. Nililipa laki moja hiyo alimradi nimalize chuo, or else my 4 years would all have been wasted like that.
Kilichofuata ilikuwa ni how to survive the year,i look back today and call it, my great depression.

Lakini haikuwa ajabu sana hasa kwa finalist. All my four years as a loan beneficiary i was made to put up with boom and tuition fees delays from board,had to beg chuo to let me seat for exams first and would pay later. Sometimes they did let me,sometimes they didn't so i borrowed elsewhere with stringest conditions such as interest rates that sees you broke paying the debts the moment boom comes. In the former case, i still had to make futile routes from office to office,they threw each other the balls, dvcaf,faculty,vc,bursar etc everone not wanting to be 'the disgraced guy who let them did exams without paying'.

The hustles were so much to put up with, not to mention that i also lived from hand to mouth.

But what's the moral do you learn out of all this? I observed saut is an institution with great financial discipline. You either conform or learn the hard way, which is, lord knows i hate to admit-commedable sort of.

But the church has got to find a way to hep the needy, instead of taking advantage of their desperation.
What good does it do you, lors's servant, dear rev kitima, to often and always speak so passionately about helping the poor, and vehemently blast the government when things aren't in order at home?people in glass houses should know better not to throw stones. Doesn't make you any better.

Wanafunzi, for all it's worth, saut is still a far better place to be than the rest uni's across the country,trust me now, i knw better now.
Hapa ngoja niseme kiswahili ili inoge na ilete raha nlokusudia. Tujifunze kukabiliana na changamoto kadri zinavyokuja. Na tuwe na nidhamu ya pesa hata ndogo tupatayo pale tunapoipata haijalishi wapi imetokea bodi au kwingine.
Serikali pia ifikirie upya commitment yake kusaidia watoto wa kitanzania. Kiukweli wanateseka,wamekata tamaa na wengine wanaacha chuo na ndoto zao zinakomea hapo. Ushahidi ninao pale saut na inatia uchungu sana kuna baadhi ya watu ukijua story zao unaweza kulia.

Angalau wewe umwandika vitu vya msingi kwa mtanzania kuliko baadhi ya wazembe wanaoitazama post yangu kwa jicho la Udini,pool jk

  • :fencing:
    • 😱hwell:

Msaada si lazima upewe bure, hata kupunguziwa nao ni msaada... We utakuwa una ajenda yako binafsi

We umejuaje kama nina ajenda ya zaidi ya hii?usiishi kwa kutegemea ndoto na maono ya majini kama Shekhe Yahya,acha udini Mtanganyika na Mzanzibar
 
Back
Top Bottom