SAUT student

SAUT student

cryssnicy

Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6
Reaction score
0
helloooo jamii fl am a gest in jamii f i hv came with a fantastc coment especially our gvt.and social affairs(L.O.V.E) mwaaaa!!!
 
Globu njoo umkaribishe mgeni mimi sijamuelewa kabisa...
Kwa nini usiandike tu kwa lugha ya kiswahili?
 
Last edited by a moderator:

Hata mimi sijamuelewa Mkuu. Eti ni mwanafunzi wa University!!! Vichekesho.
 
Last edited by a moderator:
Globu njoo umkaribishe mgeni mimi sijamuelewa kabisa...
Kwa nini usiandike tu kwa lugha ya kiswahili?
Mimi kanitisha na hicho kidhungu,kama yuko chuo kikuu basi tuna safari ndefu,labda aje Mulugo mwenyewe akamfundishe...........
 
Karibu sana JF kijana,boresha shule au urudi Form 2.
 
Back
Top Bottom