Wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha saut wamejikuta wakihaha baada ya kuongezeka kwa gharama za hostel
hostel za ndani ni laki tatu, afu za nje zinaanza kwa laki 6 pia kwa kupanga kwenye nyumba za kawaida inaanzia laki 3. Gharama zote ni kwa mwaka mmoja.
Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?

nilipokuwa SAUT hili swala la serikali kutokuweka utaratibu wowote juu ya bei na jinsi ya wamiliki wa nyumba kuweza kulipa kodi lilikuwa linanikera sana! Yaani mimi boom langu nitadaiwa halafu mwenye nyumba anachukua bila hata kuchangia hata sh. moja? Halafu bei juu Laki 4, 5, 6, 8 hadi Milion moja na ishirini kwa mwaka kweli?Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?
hostel za nje gharama ni nafuu kidogo kuliko hata zile za ndani
hasa sauti nacho ni chuo
hasa sauti nacho ni chuo