SAUT_mwaka wa kwanza waliwa

SAUT_mwaka wa kwanza waliwa

LOMP

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
215
Reaction score
21
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha saut wamejikuta wakihaha baada ya kuongezeka kwa gharama za hostel
 
nawapa pole sana wanafunzi hao,..huwa kawaida ya wenye hostel kupandisha huku wakijuwa wazi kuwa wengi wa wanafunz wametoka familia za kipato cha chini na kutegemea mkopo kwa kila kitu.

me nafkir kupitia serikali yao na menejiment ya chuo wangewaomba hao wamiliki wa hostel za nje ya chuo kuwa na huruma na kuridhika na bei ya siku zote na c kama wafanyavyo!!!
 
hostel za nje gharama ni nafuu kidogo kuliko hata zile za ndani
 
hostel za ndani ni laki tatu, afu za nje zinaanza kwa laki 6 pia kwa kupanga kwenye nyumba za kawaida inaanzia laki 3. Gharama zote ni kwa mwaka mmoja.
 
Jamani me mwenywe nipo saut ni kweli hostel za ndani ya chuo gharama zimeongezeka kotoka 210,000 mpaka 300,000 kwa mwaka. Ila yote maisha tu.
 
hostel za ndani ni laki tatu, afu za nje zinaanza kwa laki 6 pia kwa kupanga kwenye nyumba za kawaida inaanzia laki 3. Gharama zote ni kwa mwaka mmoja.

Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?
 
Walipue kabisa hao,wamezidisha wizi:::nyambafff:::
 
Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?

ki ukweli sifahamu mkuu. Labda nikiulizia ntakupa majib
 
Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?

serikali ya wala rushwa haikusanyi kodi.nani adhibiti hizo hostel/vyuo ada zinapanda holela si tupo bize na dili zetu
 
Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?

hii huitwa "funika kombe mwanaharamu apite",maswali yako magumu sana labda ma SECRETARY watusaidie kuyajibu
 
Naomba kuuliza kuhusu Hosteli za binafsi, je, kuna Mamlaka yeyote Serikalini inayoratibu upangaji bei? Je, wenye Hosteli wanalipa Kodi stahiki Serikalini, je, Hosteli zina leseni na zinafanyiwa ukaguzi na Mamlaka husika ili kuthibitishwa ubora na usalama? je, Uongozi wa Chuo na/au wa Serikali ya Wanafunzi hawana wasiliano ya moja kwa moja na Wamiliki ili kuratibu bei hizo?
nilipokuwa SAUT hili swala la serikali kutokuweka utaratibu wowote juu ya bei na jinsi ya wamiliki wa nyumba kuweza kulipa kodi lilikuwa linanikera sana! Yaani mimi boom langu nitadaiwa halafu mwenye nyumba anachukua bila hata kuchangia hata sh. moja? Halafu bei juu Laki 4, 5, 6, 8 hadi Milion moja na ishirini kwa mwaka kweli?
 
Poleni wadogo zangu ni changamoto 2 ila 2ukija 2utmuuliza rais wa sautso ongezeko hilo limetokana na nini?
 
Nikifikiria nilivyohangaika kupata accommodation chuo nilichoomea ya pili, sitamani kusomatena!!!!!
 
hostel za nje gharama ni nafuu kidogo kuliko hata zile za ndani

Acha kuudanganya umma, za ndani ni 300,000/= na za nje ni kuanzia 450,000/= hadi 1,200,000/= sasa ni zipi zenye gharama nafuu? Watu wengine bwana!!! Me nimeishi hostel za nje miaka yote 3, usiandike mambo ambayo hujayafanyia uchunguzi wa kina.
 
Back
Top Bottom