SAUT_mwaka wa kwanza waliwa

SAUT_mwaka wa kwanza waliwa

Kwa first year mliorepot loan officer kawaambia boom lenu la mara ya kwanza mtasaini lini?
 
Wanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha saut wamejikuta wakihaha baada ya kuongezeka kwa gharama za hostel
Wewe unaikuza sana hii agenda kuliko uhalisia, mie mdogo wangu yuko pale mwaaka wa kwanza hilo ongezeko ni la kawaida sana tatizo labda hawakujulishwa mapema. Uelewe maisha yanapanda na gharama zake ndiyo maana watu wanadai kuongezewa mishahara kila wakati.
 
hostel za nje gharama ni nafuu kidogo kuliko hata zile za ndani
Unazungumzia hostel za nje za akina nani? tafadhali usipige siasa, laki tatu ya hostel za SAUT zina uhakika zaidi wa usalama, usafi na hata umeme, hizo za nje za gharama nafuu sijui ziko sehemu gani maana hata SWEA ma Luchelele huwezi pata gharama ya chini ya laki tatu labda siyo hostel ni nyumba mbovu mbovu za mitaani. Kwa mtu makini, atapenda mwanae ama mdogo wake akae za ndani. Mie mbeba mabox sioni tatizo kumtumia mdogo wangu Euros 150 kama ada ya pango naelewa matatizo ya kukaa nje ya chuo.
 
Wadau dunia inaenda kasi hostel zinapanda bei kwa sababu gharama za maisha nazo zipo juu ndo hali ya nchi ye2 so tujiongeze 2 hamna namna
 
Back
Top Bottom