Sauti inayomwambia Rais Samia akamilishe Miradi ni ya Mungu wa mbinguni akinena kupitia mtumishi wake Hayati Magufuli

Sauti inayomwambia Rais Samia akamilishe Miradi ni ya Mungu wa mbinguni akinena kupitia mtumishi wake Hayati Magufuli

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakuu wa nchi huwekwa madarakani na Mungu wa mbinguni na ndio sababu Huapa kwa kutumia Vitabu Vitakatifu.

Ukitegemea waganga kama Pakipande au Mandondo Ikulu utaendelea kuisikia tu hadi uzeeni na mkongojo.

Sauti inayomwambia Rais Samia akamilishe Miradi iliyoanzishwa na mtangulizi wake hayati Magufuli ni Sauti ya Mungu wa mbinguni aliyeibua Fikra Hizo " Wakati" wa mtumishi wake Magufuli.

Rais Samia unayoisikia ni Sauti ya kinabii

"Lisha Kondoo Zangu" Yohana 21:15-17

Ramadan kareem!
 
Back
Top Bottom