Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

Mimi nimesikitika sana baada ya kumsikia Rais akisema jana kwamba Waziri wa fedha kamshauri yeye (Rais) kwamba sehemu ya mkopo itumike kulipia mikopo ambayo tayari imemature.

Hapo inaonesha kwamba kama Taifa tumekwama hatuna option nyingine.
 
Mimi nimesikitika sana baada ya kumsikia Rais akisema jana kwamba Waziri wa fedha kamshauri yeye (Rais) kwamba sehemu ya mkopo itumike kulipia mikopo ambayo tayari imemature.

Hapo inaonesha kwamba kama Taifa tumekwama hatuna option nyingine.
Unasikitika Hayati alivyoharibu nchi au unasikitika njia zinazotumika kutuvusha... Hakika Tutaendelea kumshukuru mungu daima.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Vyovyote iwavyo, kukopa trillioni 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati tena bila idhini ya bunge ni jambo lisilokubalika, na hili ni lazima liondoke na mtu!
Acha majungu mkopo wa madarasa na madawati ni 1.3 trillion huu uzushi unawasaidia nini sukuma gang??

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Acha majungu mkopo wa madarasa na madawati ni 1.3 trillion huu uzushi unawasaidia nini sukuma gang??

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Trillion 2 za Covid 19 ziliemda kwenye madarasa na madawati, dollar bilioni 3 (trillion 8) zimeenda kwenye madarasa na madawati na kidogo zimepelekwa Zanzibar, na hata tozo za miamala 100bn per month zinaenda kwenye madarasa na madawati, piga hesabu wewe mwenyewe
 
Ndugu wa Marehemu una mdomo!
 

Hili andiko lingekua na maana kama ungeliandika ndugu, mzalendo,ndugu JPM alivokua madarakani,maana yeye kwa mwaka alikopa wastani wa Trillioni 6.
Otherwise Nawe ni wale wale kama Pengo tu,rais akitoka mwambao munamletea Nongwa

Lina udini na ukabila Hilo pumbavu
 
Wewe ulikuwa team JPM aliyekopa trilioni 29, umegeuka?
 
Mnajisumbua tu kulialia

Wakope wasikope keki ya nchi inaliwa na wenyewe

Ova
 
Mkuu Mwanakijiji
Kwanza hongera maana umerudi kwenye zile common sense zako.Kwa takribani miaka mitano ulipotea kabisa!
Tatizo la nchi yetu ni inferiority complex kwa viongozi hawaamini kwneye ukweli.Yaani waziri hana nguvu za kumwambia ukweli Rais kwa kuhofia nafasi yake
Pili ni hangover ya ujamaa.Ujamaa umejaa michongo mingi,serikali za kijamaa zinaendeshwa kwa matukio
Tatu ni mfumo wetu wa kupata viongozi,ni aibu kuwa na bunge la wabunge w darasa la saba,madiwani daraasa la saba,ni aibu kubwa hawa ndio hutengeneza/hupitisha mipango kuanzia chini
 
John Major alikuwa na elimu gani?
 
Msimamo wa Ndugai kuhusu Mikopo unakaribiana na huu wa Azimio la Arusha

Ndugai hana msimamo wowote kuhusu mikopo, inategemea nani yuko madarakani na jinsi maslahi yake binafsi yanavyofaidika!! Magufuli alipokuwa hai na kuchukua mikopo Ndugai hakutoa hata neno moja kwani he was a beneficially wa ile regime ; lakini juzi kajitokeza kupinga mikopo tena ya masharti nafuu kuliko ile aliyochukua Kikwete na Magufuli na kutokwa na mapovu kupinga!!
Sera ya kujitegemea ni nzuri kwani inalinda uhuru wa nchi lakini hakuna nchi inayojitegemea kwa kila kitu na hapo ndio unakuja umuhimu wa kujua kama utakopa, utakopa kwa matumizi gani na kwa faida ipi? Sio nchi mnakopa halafu viongozi wanatumia hela ya mikopo kwenda nje kubembea, huo unakuwa ni ujuha!!!
 
Rudi juu kabisa ukasome upya,amesema masikini akikopa kapatwa ila tajiri akikopa kapata.kwa maana hiyo huu ujinga ulio andika hapa umejibiwa kabla hujauliza
Kwaiyo nchi isikope?
 
Mikopo ya kujenga madarasa na matundu ya choo, hata mabeberu yanatushangaa jinsi akili zetu zilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…