Sauti kutoka Kaburini - Ni Jambo la Kijinga Kutegemea Mikopo Kujiletea Maendeleo...

😂Nyie Watanzania ndiyo maana Nyerere aliwanyima demokrasia na uhuru wa kuongea. Ndiyo maana hakuruhusu watu binafsi kumiliki magazeti, TV, radio n.k. Alijua akiwapa demokrasia na uhuru wa kuongea mtautumia vibaya na mtamsumbua mpaka atashindwa kutawala.
 
Hili andiko lingekua na maana kama ungeliandika ndugu, mzalendo,ndugu JPM alivokua madarakani,maana yeye kwa mwaka alikopa wastani wa Trillioni 6.
Otherwise Nawe ni wale wale kama Pengo tu,rais akitoka mwambao munamletea Nongwa
Ha ha huyu Mzee Mwanakijiji ni mdini tu hana lolote kama umemfatilia toka 2005 Jamii forum utagundua hilo
 
Sauti kutoka makaburini sio kipaumbele chetu hiyo ni ya wafu, tunataka sauti kutoka MBINGUNI.
 


Madawati ndio miradi mikubwa ya maendeleo
 
Yupi bora ? anayekopa na kusema nimekopa au anayekopa halafu anasema ni hela zangu....deni ni kama maendeleo, halina chama🐒
 
Amin usiamin!

Pamoja na kwamba machawa ya mama yanamshambulia sana Ndugai, ila ujumbe wake utawatesa hadi 2025
Ulikuwa mfuasi wa Magufuli ila umegeuka hasimu wa makamu wake ambaye kwa Sasa ndio Rais... inashangaza sana.
 
Hivi kukopa huwa ni jambo baya?...hii makala mtoa mada ameileta wakati huu kwa lengo maalum, maana enzi za awamu ya 5 hakufanya hili japo mikopo ilikuwepo.
 
Nonsense.
Kajenge mitambo ya umeme wa gesi kwa tozo
 


Unaongea kishabiki ndugu yangu huwezi kuongelea mikopo kama . Mikopo haifanani

1. Magufuli alikopa pesa kwa reli yetu kiasi cha $1.5B kwa miaka 6 na riba 8% maana yake tunalipa Tsh 740B kwa mwaka
2. Raisi Samia kakopa Tsh 1.3 Trillion kwa riba 0% kwa miaka 20 na tunalipa Tsh 65 Billion kwa mwaka

Sasa hii sio mikopo inayofanana na kama kweli tunajali mikopo tungelaumu mkopo wa Magufuli ambao ulikuwa mbaya sana na Reli ina miaka mingi kuanza kufanya kazi. Watoto wanaingia shule January 17, 2022 hawawezi kusubiri kwenye miti ya maembe tukusanye kodi kama kuna mikopo mizuri hivi.
 
Kimsingi fedha haziwezi kukuletea maendeleo.
Wanasema fedha hatuna fedha lkn wakumbuke kwamba ili kurudisha mikopo, watahitaji pesa.
 
Hatukatai taifa kukopa lkn watu wasione wametukanwa wakitahadharishwa kuhusu mikopo.
 
Maswali:
a. Msimamo wa Ndugai kuhusu Mikopo unakaribiana na huu wa Azimio la Arusha
b. Msimamo wa Azimio la Arusha ni potofu na hivyo msimamo wa sasa wa kifikra wa serikali ndio sahihi - tutegemee mikopo na misaada kuleta maendeleo?
Ndugai kaomba msamaha kwa aliyoyasema, hana msimamo wala hoja
 

..manunuzi ya ndege yamegharimu trillion ngapi?

..halafu Atcl inaingiza hasara kiasi gani kila mwaka?

..1.3 trillion anayoizungumzia Rais ni mkopo nafuu wa athari za covid 19.

..Kusingekuwepo na janga la covid 19 huo mkopo usingekuwepo kwa terms hizo.

..Na according to Madame President sehemu ya hiyo 1.3 trillion imetumika kulipa mikopo iliyo-mature. Maana yake ni kwamba tuna-struggle kulipa mikopo.

..Mimi wasiwasi wangu ni kama jinsi tunavyokwenda mbele tunajenga uwezo wa ku-manage our finances.

..Kama tunajenga uwezo wa kulipa madeni yetu. Kama tunaongeza walipa kodi wa viwango mbalimbali. Kama Watz wanazalisha zaidi.

..Mwisho, katika awamu ya Mkapa Tz ilikuwa a Highly Indebted Poor Country. Tukapigana mpaka tukasamehewa baadhi ya madeni.

..Sasa tujiulize, kama tunarudi kuwa HIPC, au tuna-move away from that kuelekea kwenye prosperity.
 
Kwa nyinyi hivi hakuna aliewahi kukopa isipkua MAMA? kinacho wasumbua ni HIJABU yake, UISLAMU wake na UZANZIBAR wake
# TUNASIMAMANAMAMA
 
Duh Hadithi ndefu halafu ya kizamani sana
Mwanakijiji kumbuka kulitokea njaa hapo Shinyanga Mwendazake akatoa sadaka mahindi huko Zimbabwe, je Bukoba na tetemeko la ardhi pesa za michango zilienda wapi?
Sasa hivi Sukuma Gang tunawasikia tunawaelewa mtanyamaza tu
 
Wakati Magufuli anakopa , walikaa kimya na jamaa alikuwa anakopa Mikopo ya kibiashara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…