Inabadilishwa Tuhyo kabyuleta inaweza kubadilishwa?
Naonga mkono. Water pump mara nyingi ikizingua ndio ina huo mchezo wa kutoa sauti mbaya. At least pa kuanzia ni kucheki hiyo.Niliwahi kuwa na tatizo kama hilo.
Tatizo lilikuwa ni cooling system.
Nilifanya yafyatayo;
1. Nilitoa cylinderhead gasket
2. Nilimwaga oil nikaweka mpya.
3. Nikaweka water pump na thermostat mpya.
4. Nilishusha silencer.
Sio gari zote zenye carburetor. Gari nyingi za kisasa zinatumia injector.Carburettor inasababisha Hilo TATIZO Kwa upande Fulani hasa ikianza kuchoka utahitaji kushusha silencer lkn bado Hali inakuwa hivyohivyo....
Hapo haina jinsi zaidi ya kwenda garage tu
Well comment zote ni sawaHabari wataalamu,
Kuna jamaa yangu ana verosa, tatizo la gari hii Ni kuwa inatoa mlio mbaya kwenye injini. Ukiwasha kwa mara ya kwanza, let say asubuhi inakuwa na muungurumo mkubwa sana, baada ya injini kupata inapungua lakini bado inakuwa na mlio siyo mzuri.
Wataalamu tunaomba ushauri tumsaidie jamaa yangu