JOEL ELPHAS
Member
- Feb 8, 2013
- 20
- 9
sasa jamani tuende chuo au tusubiri intake ya jkt october
Mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea Saint Augustine University of Tanzania utapata habari Zenye uhakika
mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea Saint Augustine University of Tanzania utapata habari zenye uhakika
Hayo macho yenu yana makengeza? Website inasema usajili unaanza tar 9/9/2013. Orientation ndiyo inaanza tar 18/9/2013 na masomo yataanza tar 24/9/2013. Hii imeelezwa kwenye joining instruction na ni ratiba ya first year. Wale second wanafungua tar 16/9/2013. huo ndiyo ukweli na first year ukichelewa sana registration faini 100,000/- Kwahy jipangen 2kutane tar 9 na asiwaogopeshe mtu.
Taarifa zenye uhakika ni kuwa wanafunzi wa shahada ya kwanza mwaka wa kwanza 2013/2014 wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 09 Septemba, 2013 saa tatu kamili asubuhi (9:00 am).Mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea www.saut.ac.tz utapata habari Zenye uhakika