Sauti sauti sauti, jamani tuliochaguliwa st.augustine tunafungua tarehe 9/9/2013

Sauti sauti sauti, jamani tuliochaguliwa st.augustine tunafungua tarehe 9/9/2013

Nenda jkt kwanza alafu mnarepot chuo bila kujua hatima ya mkopo wenu?
 
nenda unapoona kuna manufaa katika maisha yako zaidi.
 
Mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea www.saut.ac.tz utapata habari Zenye uhakika
 
jaman hapo mtuweke sawa. Wengine bado tunatumia simu za java os hazisomi hzo pdf. Tarehe halisi ya 1st year kurpot n ln? Coz wngne nto 2nawawezesha madg wakatambe mjni.
 
Tarehe ya kuripoti Saint Augustine kwa 1st year ni kuanzia tar 18/9 na si vinginevyo.
Kitabu kushika hatamu kuanzia tar 24/9, hii ni kwa SAUT Main Campus hapa Ng'wanza!
 
Hayo macho yenu yana makengeza? Website inasema usajili unaanza tar 9/9/2013. Orientation ndiyo inaanza tar 18/9/2013 na masomo yataanza tar 24/9/2013. Hii imeelezwa kwenye joining instruction na ni ratiba ya first year. Wale second wanafungua tar 16/9/2013. huo ndiyo ukweli na first year ukichelewa sana registration faini 100,000/- Kwahy jipangen 2kutane tar 9 na asiwaogopeshe mtu.
 
mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea Saint Augustine University of Tanzania utapata habari zenye uhakika

acha kupotosha watu. Ni tarehe 9/09 usajili, then orientation 16/09. Njoo chuo jkt wamekurupuka bila kujipanga, kila kitu kimekuwa ni siasa hapa bongo.
 
Hayo macho yenu yana makengeza? Website inasema usajili unaanza tar 9/9/2013. Orientation ndiyo inaanza tar 18/9/2013 na masomo yataanza tar 24/9/2013. Hii imeelezwa kwenye joining instruction na ni ratiba ya first year. Wale second wanafungua tar 16/9/2013. huo ndiyo ukweli na first year ukichelewa sana registration faini 100,000/- Kwahy jipangen 2kutane tar 9 na asiwaogopeshe mtu.

afadhali umeona na wewe maana watu wanajua kupotosha humu
 
Mimi nasoma saut main campus chuo halifunguliw tarehe hzo kwa nyie first year ni kuanzia tarehe 16 ndo usajili unaanza ukijileta mbio mbio utatia huruma hautaamin tembelea www.saut.ac.tz utapata habari Zenye uhakika
Taarifa zenye uhakika ni kuwa wanafunzi wa shahada ya kwanza mwaka wa kwanza 2013/2014 wanatakiwa kuripoti chuoni tarehe 09 Septemba, 2013 saa tatu kamili asubuhi (9:00 am).
Hiyo tarehe 16 Septemba, 2013 ni tarehe ya kuanza kwa Mitihani ya Supplementary kwa wanafunzi wanaoendelea....

Naomba kuwasilisha!!!
 
kwanza wote hamjmuelewa yeye hajamaanisha chuo yeye kamaanisha sauti kama mrio tu. kuwen waangalifu matapel wengi cku hizi
 
Back
Top Bottom