wasanii wetu wengi wanaimba ujinga
eti"Mama navua nguo,huwezi,navua nguo huwezi"..wiki mbili tu wimbo ushakinaisha watu..ujinga mtupu,japo ndo wanasema soko linataka hivi
Hawa Sauti Sol nawafuatilia wayback kipindi cha Gentleman na Still the one..I really enjoy their music
. WalishilikishwaUle unaitwa sijui nerea ni wao au walishirikishwa
wimbo mzuri sanaStill The One bado naifeel mpaka leo. Pia Sauti Sol wako vizuri stejini nilibahatika kuwaona kwa blankets&wine festival pale Nairobi. Wako fiti.
sauti sol ni wajuvi haswaa kwenye mziki na ni wabunifu sana na wana -maintain umoja wao which is good kwa kwetu hapa kiukweli sijaona wa kufanana nao.Binafsi huwa nawaelewa sana hawa jamaa ni wabunifu sana. Extravaganza, Isabela, Kuliko jana na Short n sweet baadhi ya nyimbi zao ninazokubali
Sent using Jamii Forums mobile app
umenipa mood nao hapawimbo mzuri sana
wasanii wetu wengi wanaimba ujinga
eti"Mama navua nguo,huwezi,navua nguo huwezi"..wiki mbili tu wimbo ushakinaisha watu..ujinga mtupu,japo ndo wanasema soko linataka hivi
Hawa Sauti Sol nawafuatilia wayback kipindi cha Gentleman na Still the one..I really enjoy their music
Yani uko mawazoni kwangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata wabongo tunajitahidi mkuu japo sauti sol wapo njema sana. lyrics, vocals na videos zao ni epic
toka enzi za coming home, soma , still the one hadi extravaganza ni transformation inaonekana na ndio maana Hawaboi.
I wish yamoto ingeendelea pengine ingetoa upinzani lakini figisu za bongo sio
Yani uko mawazoni kwangu
nikiwaona sauti sol nawakumbuka sana Ya moto band.. Walijua kuimba na kutrend sijui shetani gani aliwakuta wale vijana
na waliteka soko maana hadi wazee wetu walikua wanawapenda.Pesa pesa na figisu za mziki. Hawa walianza kupata nominations za nje na kupiga live shows successfully ila kama kawaida yetu.kizuri hakidumu